Ebu tujikumbumbushe, enzi hizo ulikuwa wapi?

Tarime one

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
2,246
Reaction score
1,742
Mimi nakumbuka enzi hizo ukichelewa namba inakuwa issue.

 

Attachments

  • 1408964817206.jpg
    49.6 KB · Views: 1,792
Kwermusi pr.school....mbali sana huko na sijawahi kukanyaga huko toka nimemaliza std 7!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
aaah tumboo we si umesoma school bus international

Mweeee enz nlizosoma mm kulikua akuna international ila iyo gangilonga nlikua nasoma na watoto wa matajir wa iringa....apo kwetu tulkua choka mbaya nlikua naenda shule raba imetoboka mbele vidole vilikua vnachungulia yan nkikumbuka naskia kucheka sanaa
 
Last edited by a moderator:
enzi za shule ya msingi msereo acha kabisa jificha sana kwenye mahindi kimbizana sana na viranja na walimu ..... nikikumbuka zile enzi kuliko nichapwe nitakaa kwenye mahindi siku hta mbili naaga naenda shule naishia kwenye mahindi ya watu sasa wakivuna nilikuwa nachukia ..... wakiwa kwenye mavuno mimi nipo kwenye kichapo..... ha ha ha ha aisee shule raha sana
 
Me kiranja alikua rafki yangu,nikichelewa anaongeza moja ya kwangu ad wengine wakawa wananuna....

Daaa hiyo ilikuwa inaboa sana....namba wanahesabu watu 30 kiranja anaandika 45 af anawagawia rafiki zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…