Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Khaaa ndio nini sasa huyo mwalimu kumkwida mtoto namna hiyo huku akimuwasha bakora?
Kweli baadhi ya walimu ni waonevu..katoto mbavu zimemtoka lakini mwalim anakazia tu bakora kwa nguvu.
umeonaeee hata mimi shule ni likua sipendi nichapweShuleee....wallah nlikua nachukia sana bakora...
Kitu cha chekechea pale Mafinga na lile baridi ukitandikwa mpaka mkono unavimbia damu kwa ndani.[/QUOTE
Tulikuwa tunaita VIDUDU
apo akimaliza kuchapwa wanfunzi wengne tunamuimbia /asiyependa shule ni mjinga kabisa x2
Bakora imekolea dah!
umeonaeee hata mimi shule ni likua sipendi nichapwe
itakuwa ticha wa mathematiko....tena soma tebo ya kumi saba mara 1 7,saba mara 2 kumnanee do kuendelea sasaa