Ebu Jifanye mzani alafu soma hapa!!!!!

si ndo apoo..!!? Miwatu mingine sijui ya mabox.. Yenyewe kazi ku critisize tu.. Ukute hata kuleta hapa watu wafurahi halijawahi hata siku moja... Kazi yake kusoma uzi za wenzie na day yake kua nzuri na kua critic kwenye uzi za wengine ambzo limewahi kusoma... Na kwa sababu linakua na muda mrefu wa kukaa na kupitia nyuzi za watu ili awe happy basi anakua anakumbuka kishenzi uzi upi una sema nini.. Tuache izo bannnna.... Kama unaona copy n paste we pita tambaa kimya kimya....!!! Au unaongeza repply power.... Aaagh ntakuchafua uso wewe.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom