Ebu angalia haya madudu ya BBC na Aljazeera!!

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,387
Reaction score
10,965
Picha ya kwanza ni list ya wachezaji wa Man United dhidi ya Swansea City pale jana. Hii list iliweka na BBC kupitia BBC Match of the Day (BBCMOTD). Kituko ni kwenye list ya substitutes: wachezaji Fabio na Kagawa, sura zao zimekosewa na kuwekwa za waafrika; na mchezaji Zaha, sura iliyowekwa katika jina lake ni ya mtu mweupe. Ilhali ni kinyume na ilivyofanyika. Sasa sijui hawa BBCMOTD hawakuona hii.

Picha ya pili inatoka Aljazeera. Ambayo inamwonyesha Graca Machel, aliyewahi kuwa mke wa Samora Machel na sasa ni mke wa Nelson Mandela. Kituko ni jinsi Aljazeera walivyomwelezea huyu mama; eti ni mjukuu wa kiume wa Mandela!!!

Haya mambo ni kawaida kwa media za bongo; lakini nimeshangaa sana kuyaona hadi kwa media kubwa kama hizi!!
 
Attachments

  • 8f90a5c57bc3f343ed668e86753a6e5d.jpg
    8f90a5c57bc3f343ed668e86753a6e5d.jpg
    107.2 KB · Views: 255
  • 4c363564db3ab62ff5b742e594f142f6.jpg
    4c363564db3ab62ff5b742e594f142f6.jpg
    32.3 KB · Views: 219
Picha ya kwanza ni list ya wachezaji wa Man United dhidi ya Swansea City pale jana. Hii list iliweka na BBC kupitia BBC Match of the Day (BBCMOTD). Kituko ni kwenye list ya substitutes: wachezaji Fabio na Kagawa, sura zao zimekosewa na kuwekwa za waafrika; na mchezaji Zaha, sura iliyowekwa katika jina lake ni ya mtu mweupe. Ilhali ni kinyume na ilivyofanyika. Sasa sijui hawa BBCMOTD hawakuona hii.

Picha ya pili inatoka Aljazeera. Ambayo inamwonyesha Graca Machel, aliyewahi kuwa mke wa Samora Machel na sasa ni mke wa Nelson Mandela. Kituko ni jinsi Aljazeera walivyomwelezea huyu mama; eti ni mjukuu wa kiume wa Mandela!!!

Haya mambo ni kawaida kwa media za bongo; lakini nimeshangaa sana kuyaona hadi kwa media kubwa kama hizi!!

Wamechemsha big time!
Wamekuwa makanjanja!
 
Back
Top Bottom