kwa mara nyingine tena, bongo star search wakosea tena kumpa mtu ambae kiuhalali hakustahili kushindi kwa sababu hakua na kipaji badala yake alikua anajitahidi tu kuimba na kumuacha binti salma kutoka zanzibar ambae kwa hakika alionyesha kipaji, na sio juhudi za kuimba pekeee.
kama ambavyo mnaona matekeo yake mastaa wake wote hua hawatambi kwenye gemu. Napia huacha real singers wengi katika michujo yao, na kuchagua watu ambao hata haieleweki ni kwanini. Real wanauwa vipaji.
Nimekua nikufaatilia kwa muda mrefu, hawako realistic,pamoja na kua na kebehi kwa washiriki na kuonyesha wao kwa wao majaji kua hawako proffessional. Labda waseme kua Diamond ni mshindi wao. Maana hata yule alibino walio muacha na kumuonyesha leo. ni ushahidi kua walichemka. where is jumanne Iddi, where is Misoji etc. It is a shame.
Walter Chilambo amefanikiwa kuchukua shindi wa shindano la kusaka vipaji BSS kwa kuwabwaga wenzake watano ambapo nafasi ya pili imeenda kwa Salma yusufu na watatu ni Wababa mtuka ambapo wanandugu nsami nkwabi nafasi ya nne na Nshoma nkwabi nafasi ya tano.
Afadhari kashinda Walter kuliko angeshinda wababa ambaye walijitahidi sana kumpa promo wakati hata kuiga hizo nyimbo alikuwa anachemka. Nazid kufarah kuona pia Salma kawa wa pili japo kiukweli alistahili kuwa mshindi ndan ya wale top3. Huyu wababa hakustahili kuwamo top3, hapo alistahili Nshoma. Kwa maoni yangu, pamoja na kula za mashabiki, majaji kama kweli wanaweza wajitahidi kuangalia vipaji regardless nani anakula nyingi za wananchi. Hongera kwa SALAMA JABIR atleast anajaribu kuwa realistic
Huwa kila mwaka tunasifia ooh misoji mkal,pasco mkali,walter mkal bt at th end of the day wanadisappear...hakuna kipaji wanachovumbua bss wanachofanya ni kutafuta bingwa wa kukariri miziki ya wengine na kuitema kama ilivyo...so until watakapolitambua hilo watagundua true talents in music
Wote mbulula tu,hawa wanaoachwa wakiwa na vipaji ni wapi na mbna atuwasikii?akuna cha wakwanza wala wa 8,bss kwa ujumla wake ni mbulula. shndn mwnz mwsho wanacpy nymbo za w2 unategemea nini,ni kama mwanafunz alie zoea kuangalizia darasan,atafaulu vizur masomo yake lakn practicaly atakua hana k2,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.