ebooks in ur mobile phone without pdf reader | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ebooks in ur mobile phone without pdf reader

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Sep 7, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,287
  Likes Received: 3,436
  Trophy Points: 280
  Ndio wakuu, nafkiri wote tupo sawa na mambo yote 'sayona'. kwa wale wapenz wa novels za aina zote, vitabu vya arts,science,mapishi,3d moddeling,programming,fashion etc. unaweza pata vitabu vyako katika simu yako na ukaenjoy kuxoma novelz zako popote pale ulipo ukiwa na simu yako. faida ni kwamba vitabu hivi ni vina capacity ndogo sana ambazo haiitaji hata uwe na mem card. NB: ukiwa unataka ku download watakwambia ni 0bytes we usijali just start downloading utaona real capacity ambavyo so far sijaona hata kilichofika 1MB. gonga kwenye: www.mnybks.net
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,006
  Trophy Points: 280
  nafahamu hizo books but weakness yake havina chapter in case meishia kati kati nawa siwezi kuresume next time mpaka npatafute tena. Je hivo vyako vinavo?
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mimi huwa naviweka katika notepad na nasoma kama kawaida na ninapoishia ndipo naanzia nikifungua tena simu yangu ya kichina.
   
 4. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,287
  Likes Received: 3,436
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  yep mkuu kuna option ya kuweka bookmark na unaendelea ulipoishia bila matatizo
   
Loading...