kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,624
ni mmarekani au mliberia?
Kwani umarekani ni rangi?
Huyu ni Mmarekani mwenye asili ya liberia.
Halafu jamaa kabla hajafa kaisha ambukiza watu km 15 hivi!
Na Europe Umeshaingia Spain.
Mi nataka wazungu waonje hizi balaa wanazo tupandikizia Waafrika.
Na mwaka huu lzm wafe tu. Watake wastake.