Ebola Disease: Fourth American Infected in Liberia

Ebola Disease: Fourth American Infected in Liberia

jchima14

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
298
Reaction score
56
d632334130a2b9d194362b7d857b88bf_M.jpg
Ebola Patient Being Buried

A US television network prepared to evacuate a cameraman who contracted Ebola in Liberia, as the UN's pointman flew to Sierra Leone, calling the epidemic the world's "highest priority".

Ashoka Mukpo, 33, who was working as a freelancer for NBC news, discovered he was running a fever on Wednesday, his network said, and is in quarantine in a Medecins Sans Frontieres (MSF) treatment centre.

Hired by NBC only three days ago, he is the fourth American to contract Ebola in Liberia.

"The doctors are optimistic about his prognosis," Mukpo's father Mitchell Levy said in a message to family and friends quoted by NBC, adding that his son had worked on humanitarian projects in Liberia for several years.

By far the most deadly epidemic of Ebola on record has spread into five west African countries since the start of the year, infecting more than 7,000 people and killing about half of them.

The virus, spread through infected bodily fluids, can only be transmitted when a patient is experiencing the symptoms - severe fever, vomiting, diarrhoea and, in some cases, massive internal haemorrhaging and external bleeding.

The alarming rate at which the contagion is spreading has triggered international action to help battle the outbreak.

On Friday, the US military announced that it now expects to ramp up the number of troops deployed to Liberia to help fight the outbreak to nearly 4,000, up from a planned 3,000-strong force.

Anthony Banbury, head of the UN Mission on Ebola Emergency Response (UNMEER), travelled to Sierra Leone on Friday for the second leg of a tour of the three hardest-hit nations.

"The only way we will end this crisis is if we end every single last case of Ebola so there is no more risk of transmission to anyone, and when that's accomplished, UNMEER will go home," he told journalists on Thursday in the Liberian capital Freetown.

The UN envoy said he was intent on contributing to "the highest priority for the international community - for the whole world, not just the United Nations".

The World Health Organization said in its latest situation update there was still a "significant shortfall" in capacity in west Africa, with 1,500 more beds needed in Liberia and 450 in Sierra Leone.

Around 160 health professionals pledged by Cuba to Sierra Leone arrived Thursday, reported an AFP correspondent at the airport near Freetown.

Britain has pledged £120 million ($190 million, 150 million euros) to help build an estimated 700 treatment beds, fund new community treatment centres, support existing public health services and support aid agencies in Sierra Leone.

Source:ereporter

http://www.ereporter.com.ng/index.p...a-disease-fourth-american-infected-in-liberia
 
Wacha wamarekani na wao wafe kidogo.
Ebola wametuletea wao!
 
Leo nimesoma kuna French Nurse amepata Ebola, lakini amepona baada ya kupewa dawa "iliyopo katika experiment". Ama waafrika vichwa mchungwa, ivi mshawahi kujiuliza kwanini waafrika "hawaponi" kwa iyo dawa ya experiment lakini wazungu wote walopata ebola wamepona? Sijasikia kesi mzungu kafa kwa ebola ni waafrika tu!
 
kahtaan haha hizi ni propaganda tu..nani kakwambia kuna mzungu hata mmoja aliekufa kwa ebola...
 
Last edited by a moderator:
kahtaan haha hizi ni propaganda tu..nani kakwambia kuna mzungu hata mmoja aliekufa kwa ebola...

Yuko mmoja anavutia roho. Hana zaidi ya siku mbili ataondoka tu!

Hawa mbwa ndio waliotuletea ukimwi na Ebola Africa.
Natamani sana wafe km Liberia.
 
Last edited by a moderator:
Yuko mmoja anavutia roho. Hana zaidi ya siku mbili ataondoka tu!

Hawa mbwa ndio waliotuletea ukimwi na Ebola Africa.
Natamani sana wafe km Liberia.

lengo ni kupunguza idadi ya watu duniani kaka...na wanaanzia devloping countried....umeskia africa wamekufa watu zaidi ya elfu 3 sasa hivi...hata kama akifa huyo mzungu mmoja...bado ratio ndogo sana... 1: 3000,tutegemee mengi...ila kwa haraka ni magonjwa ya kutisha,ushoga kuongezeka na maisha kua magumu (ili watu wasizaane) dunia tupo 6.8 bilion sasa ivi...plan yao ni tuwe less than 3 bilion.. siwezi kuandika kila kitu....fuatilia
 
Mkuu au hii ganja ya asubuhi?
Hizi statistics umetoa wapi?

Au we ndio wale wanaokesha ktk Conspiracy theories! Angalia tu usijesema na Nyerere walimuua wao.

Teh teh teh teh!
 
Mkuu au hii ganja ya asubuhi?
Hizi statistics umetoa wapi?

Au we ndio wale wanaokesha ktk Conspiracy theories! Angalia tu usijesema na Nyerere walimuua wao.

Teh teh teh teh!

ha ha ha watu wanasemaga ivo ivo......conspiracies...mambo yanatokea before their eyes...ila wataendelea kusema conspiracies... maisha yamepanda sasa ivi..hela haionekani..ukitoa sababu mnasema conspiracies...kuna mtu alishasema...hakuna kitu kirahisi kama kumtawala mtu anaejiona yuko huru. ndo kitu ninachokiona..sio kwako tu..ila na wengine wengi..na hamuwezi kushtuka hadi utakaposhinda na njaa siku moja au ku skip milo..au lolote litakalokugusa direct..kwa sasa ivi endelea kuona ni conspiracy.
 
huu ugonjwa unatakiwa uingie kwenye soil ya wamarekani ndo watarelease dawa
 
Mkuu mi nashkuru Mungu sijawahi kulala njaa. Na kazi nnafanya vizuri tu na Ajira nimetoa kwa Watz wengi tu ambao wanalisha familia zao kila siku na watoto wao wanakwenda shule km kawaida.

Sasa hizo njama lbd wanafanyiwa wanakijiji au?
Manake hapa Town sizioni kabisa.
 
huu ugonjwa unatakiwa uingie kwenye soil ya wamarekani ndo watarelease dawa

Dawa ipo,niambie mmarekani yupi amekufa

Ugonjwa umeshaingia US na hivi sasa wanajinyea Ovyo.
Kuna Homeless mmoja anavutia Roho hivi sasa huko Atlanta. Pamoja na yule Mliberia alioko mahututi!.

Hawa watakufa tu. Tena kwa sana. Wapeni muda kidogo.
 
Kabla hujajitukana (mwafrika) uliza kama hizo dozi zinaletwa Africa...
Yule jamaa wa Liberia tu wamarekani wamemuangalia mpaka kafa...wanasema hawana dawa...dozi waliokuwa nayo imeisha...

Sa sijui angekuwa raia wao nae wangemuangalia au?

Leo nimesoma kuna French Nurse amepata Ebola, lakini amepona baada ya kupewa dawa "iliyopo katika experiment". Ama waafrika vichwa mchungwa, ivi mshawahi kujiuliza kwanini waafrika "hawaponi" kwa iyo dawa ya experiment lakini wazungu wote walopata ebola wamepona? Sijasikia kesi mzungu kafa kwa ebola ni waafrika tu!
 
Spain pia kuna nesi naye ame test positive...alikuwa anawahudumia wa mishenari ambao walikufa na ebola waliyotoa west Africa

Mume wake ameweka kwenye karantini...serikali imeamuru mbwa wao auawe...eti huyu mwanaume ameandika online petition kupinga huo uamuzi... na watu wanamsuport...
 
Mmarekani WA KWANZA KAFA NA EBOLA LEO!

Nataka WAFE km MILIONI HIVI ndipo watakapoKOMA KUTULETEA MARADHI HAYA huku AFRIKA.

Mbwa sana hawa wazungu
 
Wacha wafe mkuu, tena na sisi tumsapoti huyo jamaa.

Uzuri wenztu wazungu wana accountability ya hali ya juu, kimasihara jamaa anaweza kupata popularity na akasikilizwa na serikali, uhuru wa kuongea na kusikilizwa.
 
Ugonjwa umeshaingia US na hivi sasa wanajinyea Ovyo.
Kuna Homeless mmoja anavutia Roho hivi sasa huko Atlanta. Pamoja na yule Mliberia alioko mahututi!.

Hawa watakufa tu. Tena kwa sana. Wapeni muda kidogo.

Haha wakati huo mmeshakufa wengi sana tu
 
Mmarekani WA KWANZA KAFA NA EBOLA LEO!

Nataka WAFE km MILIONI HIVI ndipo watakapoKOMA KUTULETEA MARADHI HAYA huku AFRIKA.

Mbwa sana hawa wazungu
ni mmarekani au mliberia?
 
Back
Top Bottom