Ebitoke meets BenPol.....!!!

Wametokelezea. Ebitoke ni mfano bora kwa madomo zege wote.
 
Ben Pol vunja hako kakikombe halafu usepe zako kwa mkeo! 😀 😀 😀 😀
 
Kiki tena??[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
mbona kama hiyo yote ilipangwa??? hata nguo walizovaa ni kama walipanga washone sare,wakajipanga na photoshoot kabisa lol...ben anazima ishu ya mafuta...
 
mbona kama hiyo yote ilipangwa??? hata nguo walizovaa ni kama walipanga washone sare,wakajipanga na photoshoot kabisa lol...ben anazima ishu ya mafuta...
Samahani hebu nifafanulie "ishu ya mafuta" maana sielewi mnamaanisha nini?
 
Anaweza ebitoke the best.kweli pembe la ng'ombe halifichiki

Ben pol faidi hiyo bikra alisema alikuwekea wewe
 
kiki za benpol huwa za kitoto sana. nampongeza tu ebitoke kwasababu amekuwa fundi sana wa kutafuta umaarufu na ameupata kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…