EBAY WANAUZA IPHONE 6 LAKI 4

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,724
Nimekutana na hii kitu m
463286d68ad6d1d8ca79ee32e102af86.jpg

mtandao maarufu duniani wa kuuza bidhaa lakini nimekuwa shocked kidogo na bei zao kiasi kwamba najaribu kujiuliza hizi ni fake ama wana promotion hasa hasa nikicompare na bei za madukani kwetu.
Naombeni msaada kabla cjaingia kichwa kichwa
Nb, nina uzoefu wa kuagiza magari nje lakini si bidhaa hzi ndogo ndogo.
 
Watakua na sale hao wenye simu lakini jaribu kucheki item description kama hakuna damage or the like
 
Watakua na sale hao wenye simu lakini jaribu kucheki item description kama hakuna damage or the like
Nimeshachek mkuu hakuna damage history mahala popote maana wana category za new na used.
Anyway nahisi sababu zimezagaa sana kwao maana nasikia hata samsung korea bei chee tu
 
Kumbe ndo maana maduka yapo mengi ya simu hapa mjini kiasi kwamba unajiuliza hawa wanafanyaje biashara, wanajua akiuza moja tu hela ya pango anapata
 
Shiping cost imewekwa hapo? Je wana-ship TZ? Je ni mpya au refurbished? Kuwa makini na hizi iphone, kuna iphone nilinunua ebay kwa bei nafuu lakini mwisho wa siku ikawa haifanyi request ukipiga USSD codes baadala yake inapiga kama namba ya kawaida. That means huwezi ku-request salio au kutumia mpessa etc. Kuwa makini na wauzaji wa iphone kutoka china. Kama unataka iphone nunua kwa wauzaji wa US.
 
mkuu shipping cost ni dollar 5 hadi kumi kwa maelezo yao.
Hilo la kupiga ussd za pesa ni kweli hata mm nilishawahi kuwa na samsung windows pia ilikuwa Haikubali
simu zote za verizon au at&t kwa mimi najua hazisupport hyo kitu
 
Wabongo wengi ni washamba wananunua vitu vilivyo bei ghali ili wajiridhishe kuwa siyo fake
Hhahaahha kweli mkuu hata hvo wengine hawana elimu ya kununua online,
Nashukuru mungu kazi yangu inanifanya najuana na seller mbalimbali duniani so siogopi kununua online coz najua site hipi ni ipi,
nilinunua blu energy x mwezi wa nne kupitia ebay dollar 200 ilikuwa nzuri sana na mjini nilikuwa nayo peke yangu hadi pale nilipokuja kuibiwa ikawa ndo bas tena
 
Nimekutana na hii kitu m
463286d68ad6d1d8ca79ee32e102af86.jpg

mtandao maarufu duniani wa kuuza bidhaa lakini nimekuwa shocked kidogo na bei zao kiasi kwamba najaribu kujiuliza hizi ni fake ama wana promotion hasa hasa nikicompare na bei za madukani kwetu.
Naombeni msaada kabla cjaingia kichwa kichwa
Nb, nina uzoefu wa kuagiza magari nje lakini si bidhaa hzi ndogo ndogo.
Ila inakua made in china!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom