Easy worship yenye Biblia ya Kiswahili

Easy worship yenye Biblia ya Kiswahili

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Wadau kama kuna mtu mwenye APP ya easy worship yenye Biblia ya Kiswahili naomba anisaidie ni kwa ajili ya pc. Natanguliza shukrani

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Bandugu bado sijafanikiwa kwa hili jamani
 
Kwanini usidownload moja kwa moja kutoka windows store, sign in/up kwenye account ya Microsoft kisha search biblia takatifu ipo na ni offline.

Hakuna easy worship app ya bure hata software ya biblia ya kiswahili haipo ambayo ni stand alone kwenye pc may be utumie emulator uzame google playstore upakue Bible ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom