Wadau, natumia Decoder ya Easy Television,huwa nakilipia kila mwezi,chakushangaza kwenye hiki king`amuzi kina ch:32 lakini ninauwezo wa kutazama Ch: 18 tu na nyingine zinanidai Pin code ! kunayeyote mwenyekufahamu namna ya kuking`amua/ kukichakachua nachenyewe ? napenda kutanguliza shukran kwenu.