Easter updates:

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,137
haya wakuu tupeane updates jinsi pasaka inavojiri katika eneo lako so far. Hapa home kwa mbaaali namwona bimkubwa kama anachambua mchele ivi,ooh yeas naona na dada wa kazi anakata nyama pale....
 
Daah, kuna jirani hapa alibariki ndoa jana usiku wa Pasaka, sasa kuna ka-mbuzi nakaona pale wanachelewesha kukachinja. sasa sijui kama ni kwa ajili ya sherehe au kamenunuliwa ili kufugwa. Hata hivyo sichezi mbali!
 
All alone sababu ya kazi nimejikuta niko peke yangu mahali family nzima imeenda holiday!nilitakiwa niwajoin nimekosa ticket!ila nikichungulia nje kwa dirisha naona tunapambiwa nitajijumuisha na wengine badae
 
Moshi mvua imenyesha, nimeshindwa kwenda kijijini kuwaona babu na bibi, nimehuzunika sana sababu nimesafiri kwa ajili yao!
 
Daah, kuna jirani hapa alibariki ndoa jana usiku wa Pasaka, sasa kuna ka-mbuzi nakaona pale wanachelewesha kukachinja. sasa sijui kama ni kwa ajili ya sherehe au kamenunuliwa ili kufugwa. Hata hivyo sichezi mbali!

ebu angalia wacje kukafuga ikala kwako
 
Naona soda za wagen zimenunuliwa,kweli mgen njoo mwenyej anenepe
 
Daah, kuna jirani hapa alibariki ndoa jana usiku wa Pasaka, sasa kuna ka-mbuzi nakaona pale wanachelewesha kukachinja. sasa sijui kama ni kwa ajili ya sherehe au kamenunuliwa ili kufugwa. Hata hivyo sichezi mbali!

hahaha hii kal...
 
Plau kwa sana...............Kijiweni wanaongelea match za wiki iliyopita. Napata wine na laptop yangu kimya kimya na JF
 
Pasaka imetulia ile mbaya najisogeza,taratiiiiibu kwenye maeneo ya kujidai ili nikapate moja moto moja baridi
 
wali ng'ombe hapa ndo mpango mzima,jamaa wang kanipigia cm badae twende maeneo yakujidai
 
mimi ndo naingia hapa calabash....anyone here?
 
wali ng'ombe hapa ndo mpango mzima,jamaa wang kanipigia cm badae twende maeneo yakujidai

wa loliondo maeneo ya kujidai? we na mi 2 tunabanana q- bar,meeda sinza ndo maeneo ya kujidai,wenye kujidai wako sleepway,movenpick na kilimanjaro kempinsik na familia zao.yaani huoni kutoka kwako hadi upigiwe na mlalahoi mwenzako na mie?kama kweli mi na we tuko vizuri kuna haja gani ya kusubiri kuitwa na mtu?

USIJISAHAU PASAKA J5 HAIPO

Ndg yangu usijisahau matatizo ya maisha hayaishii leo,j5 tu tutaendelea na maumivu kwa kwenda mbele,kwa hiyo ile kidogo tuibalance kima cha chini hadi mwezi mei mwishoni ,tutafika?
 
well spoken mkuu,hapa naelekea kuchill maryland kama hamna ishu ni legho
 
Ku enjoy sikukuu yeyote ni to do what you will enjoy and if possible to make other people enjoy too. Ni mechinja ka mbuzi nimegawa kanyama kidogo kwa majirani nyingine nimechoma. Nina hisi tume faidi.
 
aiseee,kuna dada yuko meza ya pemben ye2 hapa ni balaaa. Mweh? Mayo nene nacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…