East Afrika Hotel-Arusha

mwanza kuna nn ww? Jiji lmepanuka sana ila mitaa imechoka mno!
Ziwa tu ndo linaiweka kwenye dira!

Povu, ukusika Mwanza tu povu linakutoka, kwani hamuwezi kuizungumzia Arusha bila kuitaja Mwanza, simtulie mfanye maendeleo yenu na Mwanza ifanye yake...
 
Mkuu huyo mzungu ameshindwa kurun hotel imechukuliwa na anaendesha goldcrest mwanza,shida ya hizi nyumba ni rent kubwa kuendesha biashara hapo lazma uwe na mtaji mkubwa
 
Mkuu huyo mzungu ameshindwa kurun hotel imechukuliwa na anaendesha goldcrest mwanza,shida ya hizi nyumba ni rent kubwa kuendesha biashara hapo lazma uwe na mtaji mkubwa
Hilo jengo linamilikiwa na PPF naona jamaa wa gold crest mwanza Mathias Erasto ameona Arusha ipo potential kubwa huenda ndio maandalizi ya kuipiga solex Ile ya mwanza.
 
Kuota kitu gani sasa, Mwanza kwa Arusha mtasubiri miaka 200..
Dada yangu mambo yanayofanyika Arusha sasa hivi Mwanza yalifanyika miaka kumi iliyopita, yaani ni kama kipofu ameona mwezi. Relax Arusha yenu itaendelea tu kwa kiwango chake wala msisweti sana kuilinganisha na the giant Rock city..
 
Mkuu huyo mzungu ameshindwa kurun hotel imechukuliwa na anaendesha goldcrest mwanza,shida ya hizi nyumba ni rent kubwa kuendesha biashara hapo lazma uwe na mtaji mkubwa
Gold crest ya mwanza pia lile jengo ni la ppf!
 
Kwa kuwasaidia tu, baada ya mda mfupi Dodoma ina overtake Arusha kwa maana miji yote hii miwili inategemea nguvu za serikali mara makao makuu ya Afrika mashariki, (Arusha) mara Bunge (Dodoma) tofauti na Mwanza hakuna ujinga kama huo still ni second largest city. Sasa imagine nguvu zote now zinapelekwa Dodoma, Arusha itakuwa kama Mpanda very soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…