East Africa set to discuss joint military force

Hivi hii EAC imekaaje nowerdays..Commoro, shelisheli, Ethiopia na Somalia nao ni members wa EAC...inakuwaje unawekwa mkakati wa kiulinzi kwa region halafu unajumuisha non members are we serious jamani...................Go Tz go go go.......your name shall prosper forever in this region

UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU...WATU WANAO SHARE INTEREST NA OBJECTIVE NIVIZURI KUUNGANA sasa kama tanzania haijisikii katika huo muungano ni vema isijiunge kwani wanaweza punguza kasi ya wenzao ambao si wasanii.
 
East African countries will meet on Monday, in Nairobi, to discuss the way forward for a joint regional military response to conflicts in the region.

Top on the agenda is how to fast-track the Eastern Africa Standby Force (EASF) to respond to conflict, as opposed to the current situation where a single country can choose to send troops to another.

Recently, Uganda unilaterally deployed forces in South Sudan raising questions of impartiality. Kenya and Ethiopia chose not to deploy their troops.

The contributing countries are Burundi, Comoros, Djibouti, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Seychelles, Somalia, Sudan and Uganda. Each country is supposed to set aside about 450 specially trained troops for rapid deployment.

In his address at the 22nd African Union (AU) summit in Addis Ababa early this month, Kenyan President Uhuru Kenyatta said the region urgently needs a rapid response force.

The question most observers are asking is whether the meeting of policy organs, from February 10 to 15, will come up with a clear road map on how to uniformly respond to conflict in the region.

EASF director Maj Gen (Rtd) Cyrille Ndayirukiye said the force is likely to be fully operational by 2015. He said that EASF has conducted exercises to test its preparedness, and the meeting will identify gaps and the mechanisms to address them.

Kenya’s Defence Cabinet Secretary Raychelle Omamo said that despite the urgency expressed by the President, Kenya is working under the EASF framework.

Kenya is the current chair of the bureau at the levels of the assembly of Heads of state, the Chief of Defence Staff and the Cabinet Secretary of Defence and Security.

It is on this basis that Kenya has come under pressure from regional countries to deploy troops to South Sudan, but Nairobi has opted to remain neutral.

At the AU summit President Kenyatta conceded that development partners have come in handy over the years, but to continue relying on outside help for the region’s security undermines their acclaimed independence.

The EASF is a regional organisation whose mandate is to enhance peace and security in East Africa. It is one of five regional multidimensional forces of the African Standby Force with military, police and civilian components.

EASF was established as a regional mechanism to provide capability for rapid deployment of forces to carry out preventive deployment, rapid intervention, and peace support and enforcement.

Source: The East African

East Africa set to discuss joint military force - News - www.theeastafrican.co.ke

Bila Tanzania hakuna East Africa. Mnapoteza muda wenu tu
 
..Mwezi uliopita Tanzania na Burundi walikuwa na zoezi la pamoja la kijeshi.

..anayesema Tanzania haishirikiani kiulinzi na majirani zake ni muongo.

..zaidi ya ulinzi, Tanzania ina mahusiano mazuri ya kibiashara na majirani zake.

Tanzania imesema majeshi yote ya ulinzi yana wajibu wa kuhakikisha yanatekeleza vizurizoezi la ushirikiano imara na nchi jirani
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mafunzo na utendaji wa kivita wa Jeshi la ulinzi la Wananchi TANZANIA JWTZ Meja jenerali JAMES MWAKIBOLWA wakati akipokea bendera kutoka kwa kikundi cha jeshi hilo kilichokwenda kwenye zoezi la ushirikiano imara nchini BURUNDI.Kwa upande wake Kamanda wa Brigedi ya FARU,Brigedia MATHEW SUKAMBI amesema zoezi la ushirikiano imara nchini BURUNDI limefanyika kwa hali ya juu na hivyo kuiletea sifa TANZANIA.Kikundi cha jeshi la Ulinzi la Wananchi wa TANZANIA kiliondoka nchini tarehe 13 mwezi huu na kurudi juzina wanajeshi wake 360 wakiwa salama.Chanzo: Mwandishi wetu VIVIAN PYUZA
 
Bila Tanzania hakuna East Africa. Mnapoteza muda wenu tu
hakuna kubebelezwa, kama hutaki utakaa kando.big baby cries, hogwash mentality!!!!

CART2810.jpg
 
Sorry kila kitu mnachotaka kufanya tunajua na mtafika sehemu mtajuta kuwa mmeisahau Tanzania mshirika muhimu kwenu. Hamtuwezi.

BTW, single visa imefikia wapi?? Mshawapora Rwanda, Burundi na Uganda watalii wangapi??
 
Hili nalo neno.

Ukiona Kenya anaanzisha kitu kinaitwa Joint, ujue kuna sehemu hawapawezi ndo maana wanataka wafaidike kwa mgongo wa wenyewe. Somalia wamepashindwa, wanataka wasaidiwe kwa mgongo wa joint military force ya EA
 
Mshirika muhimu kivpi? Kwa malihasiri? Labda useme hivyo, lakini ukiangalia vigezo vingine ni aibu tupu... Hakuna hata mmoja anayeweza kupata hamu ya kuwa na rafiki wa hivyo! Hata lile bakuli wazungu wamelinunia sasa kitu gani kinacho kufanya ujipe misifa ya hivyo?
 
Ukiona Kenya anaanzisha kitu kinaitwa Joint, ujue kuna sehemu hawapawezi ndo maana wanataka wafaidike kwa mgongo wa wenyewe. Somalia wamepashindwa, wanataka wasaidiwe kwa mgongo wa joint military force ya EA

you always be delusional. na hiyo slogan yenu ya tz the sleeping giant. na tz tutakuwa bla bla kila siku!!!!!bure KABISAAAAAA...

New+Document.jpg
 
waltham,

..do not try to fix something that is not broken.

..Tz na Kenya tuna mahusiano mazuri tu.

..katika majirani wote wa Kenya, mpaka wa Tanzania ndiyo salama kuliko yote.

..mizozo ya Tz na Ky ni ya kawaida kabisa mfano matangazo ya mlima Kilimanjaro. U can not say that with the rest of your neighbors.

..Tz ndiyo leading export market ya Kenyan industrial goods in the EAC. Unaposema Tanzania ni bure kabisa unanishangaza. Why would you speak ill of such a neighbour?

..majuzi Kenya mlikuwa na shortage ya mahindi, na Tanzania ikawauzia kwa bei nzuri tu kwa wakati unaotakiwa.

..YES, Tz ndiyo center of gravity ya EAC. Tunapakana na wanachama wote wa jumuiya hii. Tuna population kubwa kuliko nchi zote. It is important nchi hii kuendelea kuwa na amani na maendeleo. Tukisambaratika madhara yake ni makubwa sana.

cc flyingcrane, Koborer, Smatta, Kimweri, Bulldog, mchambawima1
 
Last edited by a moderator:

Naona leo umeamuwa kuvuruga pande zote, is mchezo! Kwa taarifa yako hiyo amani unayoiombea nchi yako kila mtu anaitaka, muwe wengi au wachache haibadilishi kitu! Kumbuka moja sio sawa na sufuri cha muhimu ni kuheshimiana.
 
Last edited by a moderator:
waltham,

..do not try to fix something that is not broken.

..Tz na Kenya tuna mahusiano mazuri tu.

..katika majirani wote wa Kenya, mpaka wa Tanzania ndiyo salama kuliko yote.

..mizozo ya Tz na Ky ni ya kawaida kabisa mfano matangazo ya mlima Kilimanjaro. U can not say that with the rest of your neighbors.

..Tz ndiyo leading export market ya Kenyan industrial goods in the EAC. Unaposema Tanzania ni bure kabisa unanishangaza. Why would you speak ill of such a neighbour?

..majuzi Kenya mlikuwa na shortage ya mahindi, na Tanzania ikawauzia kwa bei nzuri tu kwa wakati unaotakiwa.

..YES, Tz ndiyo center of gravity ya EAC. Tunapakana na wanachama wote wa jumuiya hii. Tuna population kubwa kuliko nchi zote. It is important nchi hii kuendelea kuwa na amani na maendeleo. Tukisambaratika madhara yake ni makubwa sana.

cc flyingcrane, Koborer, Smatta, Kimweri, Bulldog, mchambawima1
tanzania na wananchi wake na waheshimu sana. lakini mchangiaji niliomnukuu.......nukuu ya kuwa bure kabisaaaaaaaa ni kwake sio Tz kama nchi.pole kwa kutoa picha badala.....
 
kid how are you doing.your love and passion for cartoon is too high now days huh,will buy for you a dvd set of tom and jerry.this i promise.
 
waltham,

..do not try to fix something that is not broken.

..Tz na Kenya tuna mahusiano mazuri tu.

..katika majirani wote wa Kenya, mpaka wa Tanzania ndiyo salama kuliko yote.

..mizozo ya Tz na Ky ni ya kawaida kabisa mfano matangazo ya mlima Kilimanjaro. U can not say that with the rest of your neighbors.

..Tz ndiyo leading export market ya Kenyan industrial goods in the EAC. Unaposema Tanzania ni bure kabisa unanishangaza. Why would you speak ill of such a neighbour?

..majuzi Kenya mlikuwa na shortage ya mahindi, na Tanzania ikawauzia kwa bei nzuri tu kwa wakati unaotakiwa.

..YES, Tz ndiyo center of gravity ya EAC. Tunapakana na wanachama wote wa jumuiya hii. Tuna population kubwa kuliko nchi zote. It is important nchi hii kuendelea kuwa na amani na maendeleo. Tukisambaratika madhara yake ni makubwa sana.

cc flyingcrane, Koborer, Smatta, Kimweri, Bulldog, mchambawima1

ahahaahaha...tanzania always mko watu wa amani nafikiri mipaka yote inaamani...tatizo la watanzania ni kutojiamini tu...lakini mkiondo uoga mtafika mbali sana na ndio labda mtaitwa centre of gravity...kwa sasa sidhani mnajidanganyia tu.
 
waltham,

..do not try to fix something that is not broken.

..Tz na Kenya tuna mahusiano mazuri tu.

..katika majirani wote wa Kenya, mpaka wa Tanzania ndiyo salama kuliko yote.

..mizozo ya Tz na Ky ni ya kawaida kabisa mfano matangazo ya mlima Kilimanjaro. U can not say that with the rest of your neighbors.

..Tz ndiyo leading export market ya Kenyan industrial goods in the EAC. Unaposema Tanzania ni bure kabisa unanishangaza. Why would you speak ill of such a neighbour?

..majuzi Kenya mlikuwa na shortage ya mahindi, na Tanzania ikawauzia kwa bei nzuri tu kwa wakati unaotakiwa.

..YES, Tz ndiyo center of gravity ya EAC. Tunapakana na wanachama wote wa jumuiya hii. Tuna population kubwa kuliko nchi zote. It is important nchi hii kuendelea kuwa na amani na maendeleo. Tukisambaratika madhara yake ni makubwa sana.

cc flyingcrane, Koborer, Smatta, Kimweri, Bulldog, mchambawima1

Na wenyewe wanajua kuwa bila Tanzania hakuna EA
 
you always be delusional. na hiyo slogan yenu ya tz the sleeping giant. na tz tutakuwa bla bla kila siku!!!!!bure KABISAAAAAA...

New+Document.jpg

Tumeshawazoea sana nyie. Hamna la maana. Wacha tuishi tutakavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom