East Africa Hip hop cyphers & freestyles.

East Africa Hip hop cyphers & freestyles.

Subiri kwanza nikatie vocha
Ila video ziwe clear zisije kunichocha
Nije nijue nani dent nani kocha
Nani kafanya poa na nani amelocha

form1
 
Subiri kwanza nikatie vocha
Ila video ziwe clear zisije kunichocha
Nije nijue nani dent nani kocha
Nani kafanya poa na nani amelocha

form1
[emoji3][emoji3][emoji106]
 
Style yangu sio cheap kwa hiyo siwezi kuwapa free.
 
Mkuu uko vizuri afadhali hata umefanya kichwa changu kirelax
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom