Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019
Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television CLOUDS TV /CITIZEN TV /UGANDA TV nk
Kama ulimiss basi cheki episode ya kwanza ya huyu mtoto Wa miaka 7 kutoka Uganda