East Africa Budget Highlights (KEN, UG, TZN) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

East Africa Budget Highlights (KEN, UG, TZN)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DMussa, Jun 17, 2009.

 1. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2009
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wadau ni muhimu kujua uchambuzi wa wataalam ktk masuala ya uchumi/fedha... Nimeambatanisha highlights za bajeti ya 2009/10 FY kwa Kenya, Uganda & Tanzania.

  Nadhani kwa kuangalia hizi bajeti tunaweza kujua Tanzania iko wapi na inaelekea wapi kwa kulinganishwa na nchi jirani.......
   

  Attached Files:

 2. J

  Jafar JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  1. Kitendo cha CCM kugawa migodi ya dhahabu yote halafu Mkulo anasema atakayekuja kuanzia 01 July 2009 kuomba kuvuna dhahabu atalipa kodi. Hivi nani aje ilihali migodi yooote imeshagawiwa?

  2. Kitendo cha kuongeza kodi kwenye maziwa na mtindi wakati wakulima wetu wengi wanajua tu kulisha ngo'mbe na kutoa maziwa pasipo ongezeko la thamani ni uhuni. Alitakiwa kuongeza "milk processing units" kwanza halafu ndio apandishe kodi. Matokeo yake akina RA ndio watapewa ruhusa ya kuagiza hivyo vijimashine, and at the end of the day we will find ourselves in an expensive yorghurt than that imported from RSA or Malaysia.

  3. VAT reduction to 18% is a good move, but we need to go even down. If RSA can squeeze 14% VAT why not us? Ukiweka VAT kubwa watu watakwepa utake usitake, ili ukiweka kiwango reasonable watu wataona heri kulipa kuliko kuhonga watu wa TRA.

  4. Apart from tax reliefs on agricultura implements, I see nothing in terms of action plan to rejuvenate our poor agriculture industry. Blaah, blaah blaah ndio zimejaa.
   
Loading...