EaseUs Partition Master

EaseUs Partition Master

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Jamani wataalamu mwenye hio softwaere cracked version yake naombeni anisaidiee....Mkuu Chief Mkwawa nahitaji Msaada wako Hapa Kaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi nakuomba kama una software yoyote nzuri ya kuweza kurudisha data kwenye flash, inasoma 0bytes na jana nimebebea vitu muhimu saaana. Msaada pls online naona wanataka ununue
hio nafkiri pia inafanya data recovery ijaribu.
 
Sasa inasoma 0bytes kwa maana gani? Kama ni shortcut virus tafuta software ya kuondoa
Zipo online.
Ukishindwa tafuta command ya kuondoa shortcut virus kwenye flash, command zipo online pia.

Kama data ulizifuta bahati mbaya basi tafuta software inaitwa Recuva, ipo online pia.
 
Flash ilikuwa nzima but ghafla leo niitumie ndiyo inasoma 0 bytes. Concern yangu ni kwamba nimeingia huko online kuna software inanionyesha data zangu kabisa ila ili kuzirestore inataka uinunue kwanza hiyo software thus why nikaomba kama kuna mwenye kujua ya free anisaidie link niweze kurudisha data zangu!!
 
hio nafkiri pia inafanya data recovery ijaribu.
Mkuu Chief Mkwawa baada ya kubadili window vitu vilkivyoko kwenye Local Disk C vimefutika nawezaje kurudisha Mkuu?
Shukrani zangu za Dhati kwanza Mkuu!
 
kama huku format vipo kwenye folder la windows old ambalo utalikuta kwenye local disk c
 
Mkuu Chief Mkwawa baada ya kubadili window vitu vilkivyoko kwenye Local Disk C vimefutika nawezaje kurudisha Mkuu?
Shukrani zangu za Dhati kwanza Mkuu!
Utavipata mkuu Mimi nilikua na external hdd ikaleta maluwe luwe nkai format zaidi ya Mara moja Kisha nikafanya recover kwa EASEUS DATA RECOVER na nmefanikiwa ludisha data zangu zaidi ya 250Gb but kumbuka download EASEUS DATA RECOVER ambayo Ni crack Kisha angalia YouTube jinsi ya Ku crack kingine ujuwe hawa EASEUS wana software mbili ambayo Ni EASEUS DATA REVOVER na EASEUS PARTITION MASTER kwa kesi yako download ambayo n data recover
 
Naomba niwekee Link Mkuu!
 
Back
Top Bottom