Early Estimates suggest Kikwete to win by 64.2%-71.8% margin


M

mlala tamari

New Member
Joined
Jun 30, 2010
Messages
1
Likes
0
Points
0
M

mlala tamari

New Member
Joined Jun 30, 2010
1 0 0
Not bad to start planning as even getting here is a great step if only it was openly fair! this is an infancy in an open democracy so lets go for it-- hard as it maybe but no bloodshed please!
 
K

Kamuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
368
Likes
0
Points
33
K

Kamuche

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
368 0 33
i cant agree or disagree, but no matter the results... all signs are there that the election is being rigged as we write.... CCM IS REALLY SCARED AND ARE FORCING RESULTS TO REFLECT REDETS PREDICTION

IN A FAIR RESUTLS KJ WOULDNT GET MORE THAN 55%
Hii sio fare observation. Waangalizi wote wamepongeza NEC walichofanya, na hata wapinzani kuridhika na matokeo. Angalieni uwezekano wa mpinzani kushinda kwa kura 1000, ingekuwa kuchakachua kura hizo ni chache wasingeshindwa. Cha muhimu ni kuangalia tulikojikwaa ili tujipange upya. Mapinduzi ni mchakato sio tukio. Kwani tukio huja na kuisha, tusijidanganye , la sivyo tutaishia kuwa walalamikaji.
Angalizo: Tukubali, Tukiri, Tujikague, Tujipange ( 4T)
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
715,064
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 715,064 280
We won't quit fighting until a true democracy in Tanzania is realized. Oh no, we won't quit fighting for few underdogs (especially in rural areas) who have no clean drinking water and other basic necessity of life like food, clothes, and shelter. No, we can't quit now.

But the question still remains: will you join me?

P.S. what you think we should do next [any suggestion]?
What we need is an independent NEC...........and review of election laws that have requited CCM unfair advantage.........whatever you did nobody can tell for sure what NEC is announcing is really voters' intent.....I suspect massive rigging is what will keep JK and CCM in power this time around......

Hii hapa chini ni majitaka na wala sina muda wa kuichambua hata chembe.it is a wastage of time............What is Redet or Synovate if NEC is CCM stooge?
Kwa muelekeo wa matokeo ya Urais inaashiria JK Kushinda kwa asilimia 65 mpaka 73. Eneo la Makadirio la Synovate na Redet. Hii inatuambia kuwa watu wakifanya utafiti wa Kisayansi tunahitajika kuutafakari utafiti huo na kuufanyia kazi, kuliko hatua iliyochukuliwa na wapenda mabadiliko wengi wa kuubeza na kuudharau. Limekuwa funzo jema lililogharimu wapenda mabadiliko miaka 5 ya kujipanga upya. Kama wapenda mageuzi wa kweli tujifunze kutokana na hili na kujifunza kuwa mabadiliko hayaji kwa kulazimishwa, bali kwa ushawish wa hoja na mipango madhubuti ya ushindi. Tuepuke kushabikia tusiyokuwa na ushahidi nayo na tuepuke kujiona tupo sahihi zaidi ya wengine. Kwani sio lazima wote tubadilike, wanaooona mabadiliko yanafaa wabadilike ile wale wasiohitaji mabadiliko wafaidi Mafanikio ya mabadiliko hayo. Kidumu Chama cha Mapinduzi, Kidumu Chama Tawala. Hongera Rais Kikwete. Tehe tehe tehe
 
K

Kamuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
368
Likes
0
Points
33
K

Kamuche

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2010
368 0 33
What we need is an independent NEC...........and review of election laws that have requited CCM unfair advantage.........whatever you did nobody can tell for sure what NEC is announcing is really voters' intent.....I suspect massive rigging is what will keep JK and CCM in power this time around......

Hii hapa chini ni majitaka na wala sina muda wa kuichambua hata chembe.it is a wastage of time............What is Redet or Synovate if NEC is CCM stooge?
Kama sikosei jina lako linaashiria ni wa kule kwa kina "WANANI". Nadhani ungeanza kuwaleimisha wa kwenu walioipa ccm kura nyingi, Huwezi kuwa wajua siasa na mchakato wa uchaguzi kama Dr. Slaa. Ukimya wake waashiria hayo. Hata ukitumia matusi huo ndio ukweli. Jipangeni au rukeni rukeni kama kawaida yenu.
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2007
Messages
3,073
Likes
57
Points
135
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2007
3,073 57 135
Umejaribu kujipenyeza kwa strategy ya kiroboto wa funza.
Ni mapema mno kuleta utabiri wa aina ya Sheikh Yahya.
Nakupa 25% kwa uandishi mzuri na flow nzuri katika kutetea logic yako.
Hatahivyo,Contents za logic yako zimejengwa juu ya wrong assumptions kwa sababu hiyo 75% sikupi nawapa JF.

Nisikukatishe tamaa Jaribu tena.
 
Peasant

Peasant

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2007
Messages
3,949
Likes
12
Points
135
Peasant

Peasant

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2007
3,949 12 135
Nahisi watu mnaingia kwenye mtego wa CCM kirahisi sana. Wanajaribu kuwashawishi kwamba Kikwete kashinda hata kabla robo ya matokeo hayajatoka rasmi, huwezi kujiuliza kwa hilo?! Wanachofanya ni kujaribu kuwandaa psychologically hili watakapochakachua matokeo mkubali kirahisi kwamba jamaa "walitabiri"/walitoa data. Cha msingi ni kwa watu wa CHADEMA kujumlisha matokeo yote ya urais kwenye vituo vyote na kulinganisha na yale ya NEC, otherwise changa la macho litapigwa mchana kweupe.
Remember you're dealing with mafisadi, and you'd better wake up and smell the coffee. It ain't over 'til it's over.
 
BongoTz

BongoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
272
Likes
2
Points
0
BongoTz

BongoTz

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2006
272 2 0
Not bad to start planning as even getting here is a great step if only it was openly fair! this is an infancy in an open democracy so lets go for it-- hard as it maybe but no bloodshed please!
Good point, Mlala Tamari!
 
BongoTz

BongoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2006
Messages
272
Likes
2
Points
0
BongoTz

BongoTz

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2006
272 2 0
Chadema tutakuwa wakati wote tuna-learn in a hard way.
Ubishi umetuzidi, kila mtu ni mjuaji.
Ona jinsi watu kwenye hii forum wanavyotoa maoni kichwa kichwa bila kutafakari.... muhimu kwao ni kuisapoti Chadema basi.
Mbona sasa hayo mawazo hayakusaidia kupata upresidaa?
Mliposhauriwa na timu za utafiti wa kisomi mkawakosoa na matusi juu.
Kwa mwendo huu, na mawazo haya,..
we better be prepred psychologically for another kipigo in 2015.
Take my word.....(tuepuke matusi tafadhali)
Kishongo, unachokisema ni kweli kabisa. Ubishi umetuzidi. Ah, we should always remember that, "facts do not cease to exist because they are ignored." - Aldous Huxley
 

Forum statistics

Threads 1,261,334
Members 485,118
Posts 30,086,776