Halafu Magufuli alikuwa akiongelea "ubeberu" na "vita ya uchumi" wapuuzi wachache (CHADEMA) wanapayuka hao.
Wapuuzi wanadhani "ubeberu" uliisha wakati wa Nyerere. Hawajui kuwa harakati za kutawala dunia ni harakati za kudumu. Zipo toka historia haijaanza kuandikwa, na zitakuwepo mpaka mwisho wa uwepo wa binadamu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.