EAC kuwa Makini na Uroho wa Rwanda

EAC kuwa Makini na Uroho wa Rwanda

Hana uwezo huo! Ataishia tu kuiba madini ya DRC. Akijaribu kusumbua nchi kama Tanzania, dakika 0 tu tunamchakaza.
Yuko kwenye vita na Uganga na DRC muda mrefu kupitia M23. Hii inamsaidia kusoma udhaifu wa majeshi ya nchi hizo pmoja nchi hizo pamoja na zile zinazopeleka wanajshi wa kulinda amani Kama Tanzania.

Putin pia alianza kwa kupambana na US troops pamoja na NATO ktk nchi za Syria na Venezuela akasoma udhaifu wake. Ndiyo maana Putin anatamba mpk leo
 
Tuna kambi kule kigoma zimejaa warundi na wanyarwanda miaka na miaka na kuna wakati wanasafirishwa kurudi kwao na wengine huwa wanaomba uraia na wanapewa na hamna shida yoyote.Lakini pia maeneo ya mipakani watu wa pande mbili huingiliana sana na kuna ndugu wametenganishwa na mpaka tu nenda kenya katika wilaya ya Rorya na Tarime na Kilimanjaro wilaya ya Rombo,Nyasa,Kyela na upande wa Malawi lakini pia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipi makini sana kufuatilia miendendo ya watu wake usidhani hawaoni kama kuna kitu kibaya kipo mbele kuhusu watu waliopo ndani ya mipake yake na huchukue hatua.Kifupi tuishi kwa upendo huwezi jua unakuta ridhiki yako ipo kwenye moja ya nchi za jirani na we umejifungia tu tafuta ridhiki popote unapoona patakuwa na fursa kwako wabongo tunalala sana sometime mkenya hana muda wa kujiuliza uliza akiona Tz kuna bidhaa kwa wingi na anauhitaji nayo fasta anakuja.
 
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka UK kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.

Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo imesongwa na ukaazi wa watu (densely populated).

Rwanda ina watu 12.95 ml 2020 wanaoishi kwy eneo lenye ukubwa wa 26,338 km2 sawa na 10,169 sq ml.

Nachelea kuamini kwamba Rwanda inanufaika na mpango huu wa UK/EU huku HUENDA ikitazamia kuwafaulisha hao wakimbizi kwy nchi za DR Congo na Tz ambazo maeneo yao yanayokaliwa na binadamu ni 25% @. Mpango huo umehusu Rwanda na UK tu hadi sasa.

Aidha, kuna changamoto nyemelezi ya usalama kwy ukanda wa EU na EAC kutokana na kwamba wakimbizi hao ni watu toka ktk mataifa yenye utamaduni wa vita na migogoro ya kudumu.

Tz ikiwa bado inapambana kudhibiti IS kule mpakani na Msumbiji, mara tena huko Kaskazini Magharibi Rwanda inakaribisha waasi waliokimbia vita makwao na kuwa wakimbizi. Vipi km hawa wakimbizi wakija baadaye huko kubadilika na kuwa km IS dhidi ya ama DR Congo au Tz?

Tumeona wakimbizi wa Kisomalia waliopewa kambi Tanga na srkl ya awamu ya kwanza wakija baadaye kutugeuka na kuanza kuhujumu hifadhi zetu za taifa na migodi yetu.

EAC iwe macho na Rwanda.
Nakuunga mkono 100% kwa tahadhari yako hii! Watanzania wengi wanakumbuka ni kiasi gani wakimbizi kutoka Rwanda kwenyewe na Burundi na kwa kiasi fulani DR Congo walivyosababisha matatizo makubwa hapa nchini, visa vya ujambazi, uharibifu wa mazingira nk!
Pili mtu ukichukua muda wako ukamtathmini Paul kagame, dikteta uchwara wa Rwanda na hekaheka zake za kujitanua na magomvi na kila aitwaye jirani yake; hapa kwetu aliwahi kutishia kumpiga ngumi Rais mstaafu JK, mpaka leo hatujui alimaanisha nini!
Ni siri isiyofichika kwamba Rwanda inafadhili vikundi mbalimbali vinavyofanya vurugu DR Congo, na kutumia ghasia hizo kujinufaisha kwa raslimali za DRC, ninachokiona ni kwamba Rwanda itawatumia "wahamiaji" hao kuanzisha ghasia katika nchi jirani na kutumia mianya hiyo kujinufaisha kiuchumi kwa kupora raslimali kutoka nchi jirani!
ni kweli kabisa, EAC wawe macho na ujanja ujanja wa Rwanda ya paul Kagame, sio mtu mwema sana!
 
Kuna jamaa alikuwa anaogopwa nao wote. Nchi moja jirani ilizuia tu ndege za Tanzania kuingia kwa sababu ya COVID-19, yeye akafuta kabisa leseni ya ndega zao kuja Tanzania ikabidi waombe upya na kusema kuwa mambo yaishe.
EeeeenHeeeeee!
 
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka UK kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.

Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo imesongwa na ukaazi wa watu (densely populated).

Rwanda ina watu 12.95 ml 2020 wanaoishi kwy eneo lenye ukubwa wa 26,338 km2 sawa na 10,169 sq ml.

Nachelea kuamini kwamba Rwanda inanufaika na mpango huu wa UK/EU huku HUENDA ikitazamia kuwafaulisha hao wakimbizi kwy nchi za DR Congo na Tz ambazo maeneo yao yanayokaliwa na binadamu ni 25% @. Mpango huo umehusu Rwanda na UK tu hadi sasa.

Aidha, kuna changamoto nyemelezi ya usalama kwy ukanda wa EU na EAC kutokana na kwamba wakimbizi hao ni watu toka ktk mataifa yenye utamaduni wa vita na migogoro ya kudumu.

Tz ikiwa bado inapambana kudhibiti IS kule mpakani na Msumbiji, mara tena huko Kaskazini Magharibi Rwanda inakaribisha waasi waliokimbia vita makwao na kuwa wakimbizi. Vipi km hawa wakimbizi wakija baadaye huko kubadilika na kuwa km IS dhidi ya ama DR Congo au Tz?

Tumeona wakimbizi wa Kisomalia waliopewa kambi Tanga na srkl ya awamu ya kwanza wakija baadaye kutugeuka na kuanza kuhujumu hifadhi zetu za taifa na migodi yetu.

EAC iwe macho na Rwanda.
Wakimbizi wa Somalia waliopelekwa Tanga ni kizazi cha Wazigua wa Tanga waliopelekwa utumwani Somalia enzi hizo
Hawa wanarudi nyumbani sio Kama wale Rwanda.
 
Baada ya JK kuondoka madarakani sioni kiongozi yeyote kwa sasa ndani ya EAC wa kumkabili Jasusi Kagame. Anawa outsmart vingozi wote wa Sasa l ndani ya ukanda huu na anajua ma wao wanajua hivyo. Na ataendelea kuisumbua jumuiya hii. Uganda ameshawai kufeel the pinch na akaamua kuwa mpole yakaisha. Congo anajua ni wadhaifu hivyo anafanya anachokitaka.
 
Kuogopa wahamiaji au wakimbizi ni aklii za kipuuzi, nchi nyingi zilizoendelea ni kwa ajiri ya wahamiaji, tuliotembea hii dunia tunajua hiyo siri, angalia kama US nguvu yake kubwa ni wahamiaji, silicon valley yote wahamiaji watupu na wengi waliingia maskini bila pesa, Canada wahamiaji watupu, hata UK bila wahamiaji si lolote, Elon Musk aliingia US hana chochote, wahindi mabilionea wa bongo ni wahamiaji pia, Rwanda kaona mbali na ataendelea sana sitashanga watoto wenu wataanza kuruka ukuta kwenda kuomba vibarua Rwanda
Lakini umefamu ni wahamiaji wa aina ipi wanaoweza kukupa maendeleo, wanachofanya wa rwanda sio hivyo uonavyo wewe wao wapo kuiba mali za nchi jirani na kupeleka nchini kwao na kuanzisha makundi ya waasi mfano M23
 
Wakimbizi wa Somalia waliopelekwa Tanga ni kizazi cha Wazigua wa Tanga waliopelekwa utumwani Somalia enzi hizo
Hawa wanarudi nyumbani sio Kama wale Rwanda.
Sio kweli hawakupelekwa kama watumwa walienda wenyewe miaka hiyoo kutafuta maisha
 
Kitendo cha Rwanda kukubali kupokea wakimbizi toka UK kwa ahadi za fadhila kinapaswa kustukiwa na EAC.

Rwanda ni nchi ya pili kwa udogo kwy sayari ya dunia na ni nchi barani Afrika ambayo imesongwa na ukaazi wa watu (densely populated).

Rwanda ina watu 12.95 ml 2020 wanaoishi kwy eneo lenye ukubwa wa 26,338 km2 sawa na 10,169 sq ml.

Nachelea kuamini kwamba Rwanda inanufaika na mpango huu wa UK/EU huku HUENDA ikitazamia kuwafaulisha hao wakimbizi kwy nchi za DR Congo na Tz ambazo maeneo yao yanayokaliwa na binadamu ni 25% @. Mpango huo umehusu Rwanda na UK tu hadi sasa.

Aidha, kuna changamoto nyemelezi ya usalama kwy ukanda wa EU na EAC kutokana na kwamba wakimbizi hao ni watu toka ktk mataifa yenye utamaduni wa vita na migogoro ya kudumu.

Tz ikiwa bado inapambana kudhibiti IS kule mpakani na Msumbiji, mara tena huko Kaskazini Magharibi Rwanda inakaribisha waasi waliokimbia vita makwao na kuwa wakimbizi. Vipi km hawa wakimbizi wakija baadaye huko kubadilika na kuwa km IS dhidi ya ama DR Congo au Tz?

Tumeona wakimbizi wa Kisomalia waliopewa kambi Tanga na srkl ya awamu ya kwanza wakija baadaye kutugeuka na kuanza kuhujumu hifadhi zetu za taifa na migodi yetu.

EAC iwe macho na Rwanda.
Ni kweli nchi hii inayoongozwa na mbari ya kitutsi sio ya kuamini kuhusu usalama na ustawi wa yenyewe na majirani zao. Watutsi ni watu wabinafsi wenye uzalendo mkubwa wa kimbari. Wanajiamini sana bure tu. Uamuzi huu wa kukaribisha wakimbizi wa duniani kote wenye kuingia uingereza ni hatari kwa majirani.
Katika makubaliano na rwanda wale watakaokataliwa kuingia uingereza wataweza kubakia rwanda. Nchi hiyo ndogo yenye msongamano mkubwa wa watu bila shaka hao wahamiaji wenye uthubutu mkubwa wanaweza kua hatari kwa nchi majirani.
Mungu atuepushe na balaa.
 
Kitendo cha kiwakaribisha Wakimbizi ni kitendo cha kibinaadamu
DINI zote zinafundisha kusaidia BIN ADAM.
 
Back
Top Bottom