EAC Chief warns Tanzania on regional Integration

We will cross the bridge when we get there. Kuhusu Tanzania ambaye mko ndani ya EAC, are you with the coalition of the willing au nyie ndio the ostracized boy in the class.

EAC chief is a fag. Go get Somalia and just leave us alone.
 
Hilo swali haliwezi kuulizwa Tanzania mwanzilishi wa jumuiya labda Rwanda mgeni akiendelea na vurugu zake ataulizwa.

Hakuna cha mwanzilishi wala nini.. hapa nyie mmetengwa kwa hiyo nawashauri tu, mwende SADC mtuachie EAC sisi tunaoona umuhimu wake. Sawa. Nendeni.
 
EAC chief is a fag. Go get Somalia and just leave us alone.

Hell NO! We have the moral obligation to see you dont self destruct . Further we do not need some silly secluded North Korea type regime in EA region.
 

Kwenye red hapo wakuu ndoo wanapotutafutia. Wanataka ardhi yetu hawa. Common passport ya nini kwani kuna mtu hana passport. Na tukikubali la common passport in a way tutakuwa tunafungua ardhi yetu kwao. Kwani tutakuwa kama nchi moja so operation Kimbunga isingewezekana chini ya passport moja. Serikali hongera kwa msimano.
 
Hell NO! We have the moral obligation to see you dont self destruct . Further we do not need some silly secluded North Korea type regime in EA region.

Hell YEAH! We would rather be poor than getting railroaded towards partnership in poverty by criminal heads of states who will soon face the wrath of justice in The Hague.
Go get Somalia. EAC needs Somalia the most
 

Mambo yetu na zeni bado hayajatulia sembuse na hao wahuni wenye malengo ovu! Kwenye hili naipongeza sn serikali ya mafisadi at least wanajitahidi kuuza wa wazungu na sio kutuuza kwa majirani zetu itakuwa aibu
 

Wanyarwanda kumbe mmo humu JF?
 
mmmmmh,mimi nilijiua tu hawa watu wakikubaliwa kwenye EAC wataleta matatizo,na ilikuwaje hawa wanyaruanda na warundi wakakubaliwa kujiunga na huu umoja wa EAC,hawa walikuwa wajiunge na nchi za afrika anaozungumza kifaransa
 
mmmmmh,mimi nilijiua tu hawa watu wakikubaliwa kwenye EAC wataleta matatizo,na ilikuwaje hawa wanyaruanda na warundi wakakubaliwa kujiunga na huu umoja wa EAC,hawa walikuwa wajiunge na nchi za afrika anaozungumza kifaransa

Kiswahili problem?
 
Kiswahili problem?
You come across as a gold-digger who thought she had secured an oligarch to end her life misery only to learn there is a prenuptial which will deprive her of the wealth.

Relax mbona nchi nyingine zimejiunga EU kwa hawamu hawamu katika vitu wavyokubali na wasivyo vikubali wanasema huko hawamo sio nyinyi mnalazimisha now or never on your terms, poor Rwandese.
 
Watanzania tuachane na EAC tujiimarishe SADC na tuzidishe ushirikiano na nchi ya DRC na Burundi.Hizi nchi za Kenya,Uganda na Rwanda sio nzuri sana kwetu sisi wananchi wao kwanza wana roho mbaya,wabinafsi na wanatamani sana kuja kutuibia rasmali zetu kwa kisingizio cha EAC.Kwanza nashangaa kwa nini tulijiunga na EAC ilihali hatupati faida kubwa sana zaidi ya mahusiano.Hebu tujitoe haraka tujenge nchi yetu tuwaache na El Shababu wao maana Uganda na Kenya wote wako targeted.Ila tuimarishe ulinzi DRC ili wezi wa rasmali za DRC wachanganyikiwe.
 

Nani kawalazimisha. Tumesema kama hamtaki EAC ondokeni hatuwalazimishi. Mbona mnang'ang'ania. Si mmesema haiwafai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…