EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Samahani mkuu sikuwepo kijiweni week hii kuchangia,naona mengi yamenipita. Labda niulize kuna uhakika gani kwamba hoja alowakilisha sio msimamo wetu kulingana na sera za chama tawala. Kumbuka kwamba sisi wengine tunaodai mwongozo yaani kuwepo kwa dira ya kitaifa, ni kutokana na maswala kama haya ambayo mtu yeyote anaweza kufanya maamuzi yake binafsi kwa kisingizio cha uzalendo.
Na kwa bahati mbaya zaidi ni kwamba Watanzaniua kwa ujumka wetu hatufahamu maana ya SIASA na matumizi yake kiasi kwamba mtu yeyote anayejiona msomi anaweka fikra zake mbele kwa kutumia logic kupinga ama kukubaliana na wazo japokuwa pinzani kiitikadi na sera za chama ama dira ya kitaifa. Kifupi naweza sema Tanzania kisiasa tuna mfumo wa demokrasia wa wagombea binafsi kwa kupitia mwamvuli wa chama tu. Kila mbunge wetu anawajibika kwa wananchi kwa jinsi anavyojisikia huru hivyo kutafsirika kama ndio uzalendo. Ni vichekesho vitupu kwa muumini kumtumikia Yesu lakini usifuate biblia....
Mbunge aliitoa kama hoja binafsi, ndipo wabunge wa nchi nyingine wakaikubali.
Kama hoja yake binafsi ilikuwa ni msimamo wetu, kwa nini sasa wazizi husika anamshauri Rais asitie saini?
Huyo mbunge, waziri, na Rais si wanatoka chama tawala?