EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

EA Commercial & Logistics Centre (EACLC) kiboko ya Walanguzi K/Koo

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
7,682
Reaction score
9,522
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa na kuandamana kumtaka Chalamila afukuze wachina.

**Wachina waruhusiwe kuuza Hadi Tunduma/Kasumulu/Rusumo na Mipakani kote. Wacongo, Wazambia , Wamalawi, Wanyarwanda wasifike Kariakoo kabisa.

***Nimepita Lusaka nako Wachina wanajenga mall kama hiyo EACLC
 

Attachments

  • images (31).jpeg
    images (31).jpeg
    40.4 KB · Views: 17
Wachina (EACLC) wanafungua Mall kubwa ilipokua Ubungo Bus Terminal . Tutarajie walanguzi wa Kariakoo kuanza kulia njaa
Hio mall ni apartments km mlimani City wanazipangisha na hao wakuda wa kariakoo wanaowapiga vita wachina wameshawahi frame za humo kwa hio ni mwendo uleule toa mguu niweke mguu
 
Mchina Kaka kuwanyoosha. Afungue nyingine Tunduma Wazambia, Wa-Congo waishie pale pale border
Kuna mtu kaweka mada anashangaa kuna duka mchina Mikocheni linauza kila kitu kwa buku 3 tuu.. Hiyo ni sawa Yuan 10 kule China.. Hiyo pesa kule kwao ina nguvu Sana.. Na wabongo tumepigwa Sana bei kwa vitu ambavyo bei yake ni kitonga
 
Wachina watauza vitu hapo ubungo in wholesale zaidi, kwa wale wa rejareja watapata kwa unafuu kiasi fulani, Ubungo inakusudiwa kuwa kituo cha kibiashara zaidi kwa kuuza nchi jirani zilizotuzunguka!
#Miji inazidi kupanuka na majiji, kuna mwanza, ujiji, Arusha, kote huko mali zitakwenda na wale walanguzi wanapata tu.
 
China inahamia ubungo

Wale watafutaji wenzangu wa "agiza toka china kwa bei ya viwandani kazi inaendea mwisho"
Eti agiza na mimi pekee, yani umeenda China mwenyewe huna hata mtaji unazunguka madukani unapiga vitu picha unasubiria nikitaman nikilipie upate hela ya mtaji. Haya kitu kinafika kiko tofaut na ulichoona katika picha
 
Back
Top Bottom