wakuu nimenunua mashine yangu mpya aina hiyo tajwa hapo juu..haina hata miezi miwili nimekumbana na hilo tatizo...ina display error E002-0000 nimeshindwa kuireset. naombeni msaada wenu kama inawezekana kuireset au kama kuna fundi tunaweza kuwasiliana inbox.thanx