E-tax banking issues: Mwenye kusoma na aelewe

Joined
Sep 16, 2017
Posts
22
Reaction score
87
Hi Good People.

Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha,
Kabla ya kuedelea na hili naomba nikueleze kamba, private sector sio mshindani wa serikali bali ni partner wa serikali, ipo dhana ambayo serikali inajihadi kuimanisha hadhira kwamba private sector ni mshindani, this is totally wrong, ili kucatalize economic growth jambo kubwa ni kuhakikisha jamii inaelewa kwamba private sector engagement is inevitable.

Naomba nianze hvi.

Baada ya serikali kupitia TRA kuzibana benki kwa lengo la kuhakikisha zinacomply na e-tax banking, sasa hivi serikali imekuja na tender ambayo wanataka benk wakubaliane na TRA KWAMBA, kwa kila benki inayotakiwa kukusanya kodi za serikali lazima iweke deposit ya 10bil despite of the bank size na baada ya kudeposit hiyo pesa, bsi watapewa kibali cha kukuanya government tax na fao lao itakuwa ni 0.25% per collection.

Serikali inadhamilia kuua Banks, wapi tunaenda kupata 10bil? From creditors? From where?
Na hii ndo shida ya kuwa na watu ambao wako more of theory other than practical, sidhan kama mtu anayewaza sawa anaweza kuja na kitu kama hiki, this Government is more of control badala ya kufungua milango ya watu wengine washawishike na kuwekeza kwenye banking industry, practically,. Mimi ninapokusanya pesa ya serikali maana yake nadebit account ya mteja na kutuma pesa siku hiyo, why should I depost 10bil? Ingemake sense kubwa sana kama nadebit wateja and then nakaa na hiyo pesa kwa lengo la kuizalisha at lest 6months ili nijaribu kuangalia kama naweza kurecover 10bil niliyodeposit through Ivestiment. wao wanataka 10bil tupeleke BOT ikae pale kama ilivyo Statutory Minimum reserve, hii ni akili gani?

Serikali ina wafanyakazi 700max, private sector as a whole not less than 2.6mil. ili kucontrol unemployment rate lazima tuendelee kuencouradge private sector badala ya kuwasupress. Hivi haw watu wana nini vichwani mwao? Is it fine kwa hili wanalolifanya kweli? A lot of business are crossing down, people are loosing their jobs, multiplier effect is too massive lakini hili hawalioni?

Naomba kwa nafasi yako kama mbunge mwenye uchungu na nchi, tafuta tender moja au mbili ambazo zimetuma kwa banks usome kwa muda wako and then utafuta namna ya kuadress hili tatizo ndani ya bunge hili kabla halijaisha and then tujue namna ya kutoka hapa sababu kila mtu kwenye banking industry yuko kwenye cross road, we have a lot of pickels at the mid of this journey, tuliowatengemea watusaidie kutoka hapa ndo wa kwanza kuturudisha nyuma, dhamira ya hawa watu ni nini.
 
Fungeni muondoke. Tunataka wawekezaji wenye tija. Wapo wenye kuweza kuweka hizo 10 B bond wengi wataendelea. Hatuhitaji wababaishaji this time around.
 
Takwimu ulizotoa za ajira serikalini ....check it out!
Je kuna benki zimeomba tenda?
Zitashindwa, na TPB itapewa tenda kiulaini.
Pole CRDB, .....
 
Fungeni muondoke. Tunataka wawekezaji wenye tija. Wapo wenye kuweza kuweka hizo 10 B bond wengi wataendelea. Hatuhitaji wababaishaji this time around.
Mnafahamu hata maana ya neno "tija". Inaonekana huko lumumba mnakaririshana viji misamiati vya hovyohovyo na kuvitumia sana kukwepa hoja.
Hao wawekezaji wenye "tija" wangekua wanapatikana kirahisi basi sukari isingekua Tsh 2600 na kuendelea, kazi yenu ni kuvuruga kila sehemu kwa kutumia elimu zenu za kwenye makaratasi
 
Hi Good People.

Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha,
Kabla ya kuedelea na hili naomba nikueleze kamba, private sector sio mshindani wa serikali bali ni partner wa serikali, ipo dhana ambayo serikali inajihadi kuimanisha hadhira kwamba private sector ni mshindani, this is totally wrong, ili kucatalize economic growth jambo kubwa ni kuhakikisha jamii inaelewa kwamba private sector engagement is inevitable.

Naomba nianze hvi.

Baada ya serikali kupitia TRA kuzibana benki kwa lengo la kuhakikisha zinacomply na e-tax banking, sasa hivi serikali imekuja na tender ambayo wanataka benk wakubaliane na TRA KWAMBA, kwa kila benki inayotakiwa kukusanya kodi za serikali lazima iweke deposit ya 10bil despite of the bank size na baada ya kudeposit hiyo pesa, bsi watapewa kibali cha kukuanya government tax na fao lao itakuwa ni 0.25% per collection.

Serikali inadhamilia kuua Banks, wapi tunaenda kupata 10bil? From creditors? From where?
Na hii ndo shida ya kuwa na watu ambao wako more of theory other than practical, sidhan kama mtu anayewaza sawa anaweza kuja na kitu kama hiki, this Government is more of control badala ya kufungua milango ya watu wengine washawishike na kuwekeza kwenye banking industry, practically,. Mimi ninapokusanya pesa ya serikali maana yake nadebit account ya mteja na kutuma pesa siku hiyo, why should I depost 10bil? Ingemake sense kubwa sana kama nadebit wateja and then nakaa na hiyo pesa kwa lengo la kuizalisha at lest 6months ili nijaribu kuangalia kama naweza kurecover 10bil niliyodeposit through Ivestiment. wao wanataka 10bil tupeleke BOT ikae pale kama ilivyo Statutory Minimum reserve, hii ni akili gani?

Serikali ina wafanyakazi 700max, private sector as a whole not less than 2.6mil. ili kucontrol unemployment rate lazima tuendelee kuencouradge private sector badala ya kuwasupress. Hivi haw watu wana nini vichwani mwao? Is it fine kwa hili wanalolifanya kweli? A lot of business are crossing down, people are loosing their jobs, multiplier effect is too massive lakini hili hawalioni?

Naomba kwa nafasi yako kama mbunge mwenye uchungu na nchi, tafuta tender moja au mbili ambazo zimetuma kwa banks usome kwa muda wako and then utafuta namna ya kuadress hili tatizo ndani ya bunge hili kabla halijaisha and then tujue namna ya kutoka hapa sababu kila mtu kwenye banking industry yuko kwenye cross road, we have a lot of pickels at the mid of this journey, tuliowatengemea watusaidie kutoka hapa ndo wa kwanza kuturudisha nyuma, dhamira ya hawa watu ni nini.
Facts facts facts.!
Bila shaka wamekusikia, watalifanyia kazi.
 
kufikia tarehe kama ya Leo mwakani, kuna benk X PLC imefungua tawi kila jengo la halmashauri watafunga robo ya matawi.

screen shot my coment
Vichaa wa lumumba hawawezi kamwe kung'amua hili.
 
Fungeni muondoke. Tunataka wawekezaji wenye tija. Wapo wenye kuweza kuweka hizo 10 B bond wengi wataendelea. Hatuhitaji wababaishaji this time around.
I see!
Nimekutukana tusi la nguoni. Nimekwepa ban tu
 
Jiwe anazidi kulalia tu ,so tumempa rungu ,dawa ni kujihadhari
 
Wale wanaocheka na kuona wao haiwahusu wakija kuzinduka wamechelewa sana watataman mda urudi nyuma ila hauta rudi kesho yetu anaijua mungu tu
Na hapa ndio shida ilipo mkuu. Haya mambo ya hovyohovyo yalipoanza ikiwa pamoja na kuwa-frustrate watu walioko public sector, kuna watu hususan sisi wa private sector tulidhani hayatatukuta, ila weledi tuliwaambia dawa ya uovu ni kuuondoa hata kama haukuathiri wewe kwa wakati huo. Wakaleta akili ya mbuni kuficha pua mchangani.

Sasa nchi nzima na kila sekta inaguswa na uovu huo. Wakunywe tu kikombe cha kuchelea uovu waliodhani hautawakuta.
 
Hi Good People.

Nimeoona ni vyema nikuhusishe kwenye hili jambo ili nijue kama unaweza kwa nafasi yako kufanya uchunguzi na kuondoa doubt ya haya ninayotaka kuyaongea ili na wewe uliwasilishe hili bungeni kwa lengo la kutaka kupima utashi wa serikali katika kuinua au kuua taasisi za kifedha,
Kabla ya kuedelea na hili naomba nikueleze kamba, private sector sio mshindani wa serikali bali ni partner wa serikali, ipo dhana ambayo serikali inajihadi kuimanisha hadhira kwamba private sector ni mshindani, this is totally wrong, ili kucatalize economic growth jambo kubwa ni kuhakikisha jamii inaelewa kwamba private sector engagement is inevitable.

Naomba nianze hvi.

Baada ya serikali kupitia TRA kuzibana benki kwa lengo la kuhakikisha zinacomply na e-tax banking, sasa hivi serikali imekuja na tender ambayo wanataka benk wakubaliane na TRA KWAMBA, kwa kila benki inayotakiwa kukusanya kodi za serikali lazima iweke deposit ya 10bil despite of the bank size na baada ya kudeposit hiyo pesa, bsi watapewa kibali cha kukuanya government tax na fao lao itakuwa ni 0.25% per collection.

Serikali inadhamilia kuua Banks, wapi tunaenda kupata 10bil? From creditors? From where?
Na hii ndo shida ya kuwa na watu ambao wako more of theory other than practical, sidhan kama mtu anayewaza sawa anaweza kuja na kitu kama hiki, this Government is more of control badala ya kufungua milango ya watu wengine washawishike na kuwekeza kwenye banking industry, practically,. Mimi ninapokusanya pesa ya serikali maana yake nadebit account ya mteja na kutuma pesa siku hiyo, why should I depost 10bil? Ingemake sense kubwa sana kama nadebit wateja and then nakaa na hiyo pesa kwa lengo la kuizalisha at lest 6months ili nijaribu kuangalia kama naweza kurecover 10bil niliyodeposit through Ivestiment. wao wanataka 10bil tupeleke BOT ikae pale kama ilivyo Statutory Minimum reserve, hii ni akili gani?

Serikali ina wafanyakazi 700max, private sector as a whole not less than 2.6mil. ili kucontrol unemployment rate lazima tuendelee kuencouradge private sector badala ya kuwasupress. Hivi haw watu wana nini vichwani mwao? Is it fine kwa hili wanalolifanya kweli? A lot of business are crossing down, people are loosing their jobs, multiplier effect is too massive lakini hili hawalioni?

Naomba kwa nafasi yako kama mbunge mwenye uchungu na nchi, tafuta tender moja au mbili ambazo zimetuma kwa banks usome kwa muda wako and then utafuta namna ya kuadress hili tatizo ndani ya bunge hili kabla halijaisha and then tujue namna ya kutoka hapa sababu kila mtu kwenye banking industry yuko kwenye cross road, we have a lot of pickels at the mid of this journey, tuliowatengemea watusaidie kutoka hapa ndo wa kwanza kuturudisha nyuma, dhamira ya hawa watu ni nini.
What is 10b kwa Bank?,unless ni Saccos.
 
Tuambie kwanza hiyo 0.25 kwa makusanyo ya mwaka ya serikali ina amount kuwa kiasi gani? Serikali inachezea fedha za walipo kodi. Je biashara ya bank inategemea kukusanya kodi za TRA tu?
 
Kwani mwenye uhitaji zaidi ni nani benki ay TRA, maana TRA ndo wanashida ya kumrahisishia mlipa kodi sehemu za kulipia, mie ningekuwa TRA benki zote zingeruhusiwa bure kabisa hata tigo pesa na wenzake wangeruhusiwa bure kabisa, mbona taasisi zingine za serikali sasa hivi tunafanya malipo hata kwa tigo pesa bila shida
 
Back
Top Bottom