stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,112 Reaction score 28,009 Apr 16, 2012 #1 Msaada jamani wana JF E-mail yangu ya hotmail kila ninapotaka kufungua inaniambia imefungwa kuna procedure wanazitoa za ku-unblock kila nikizijaribu nakwama,kuna yeyote mwenye idea nifanye nini ili niweze ku-unblock!
Msaada jamani wana JF E-mail yangu ya hotmail kila ninapotaka kufungua inaniambia imefungwa kuna procedure wanazitoa za ku-unblock kila nikizijaribu nakwama,kuna yeyote mwenye idea nifanye nini ili niweze ku-unblock!
The Tan-talizer Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 163 Reaction score 67 Apr 16, 2012 #2 Kwamba hukuifungua muda mrefu sio??? And vp unatumia comptr au ni mobile device???