E-loan mizinguo yake HATARI SANA..!

E-loan mizinguo yake HATARI SANA..!

E-loan ukijaza pepmis zikawa approved mbona bado unaambiwa pepmis plan haijawa approved!?
Mkuu Ukisha Approve leo Unatakiwa Kusubiri Masaa 24 Ili Report ifike kwa Katibu Mkuu Kupitia Mfumo!
Kingine Kwa Mujibu wa Implementation Hii ni wiki ya Tano ya Kuimplement subtask zako Je Una 10% Au 8% au Kuanzia 6%kwenye Proggress ya Implementation Yako??
 
Sawa sawa labda iplementation ndo kikwazo, poa poa
 
Kausha damu za watumishi wa UMMA
Unajikaushia kupitia simu yako ukiwa kijijini kwako uhitaji kwenda Bank wilayani kuomba mkopo.
Unajikadiria kiasi cha mkopo uutakayo kisha unampigia simu HR wako anaapproval kwamba anakutambua then bank wanaachia tu mzigo
 
1000228540.jpg

Tuendelee kuwa wavumilivu. Serikali inawapenda sana Watumishi wake. Hivyo yuwe na subira, hata mwakani tutahakikisha mfumo wa PEPMIS unatengemaa.

Pia nyongeza ya kwenye mshahara uliopita inatosha. Hivyo, hakuna haja ya kwenda kukopa.
 
Mi leo imegoma verification number kuja ila namba ya simu ipo sahihi tu..! Mtandao majanga huu
 
Back
Top Bottom