E-Govt . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
E-governance (electronic Governance) ni mfumo wa kiutawala unaotumia njia za mawasiliano kama simu, internet n.k kufikisha huduma kwa wana-nchi kule waliko.

Mfano mwananchi anaweza kulipa Ada/kodi kupitia internet bila kulazimika kupanga foleni TRA

....HUKU kwetu, E - Governance ni viongozi kuingia FACE-BOOK?!!!

Wacha Raia wafesibuke...

fb.png

Hapa chini ndio uchumu wa nchi ya Mugabe ulivyo sasa.
3 Eggs kwa 100 Billion Zimbabwean Dollars

zim.png

Hapo chini sema mwenyewe, mi sisemi. Wengine walianza weekend jana

fb.png

 
Naona maendeleo mazuri ya mugabe na akimaliza muda wake huko aje na danganyeka na sisi tuwe na maendeleo kama ya kwao
 
Back
Top Bottom