Ukipewa ajira unaanza kuruka ruka, unaongea kwasababu haupo ndani ya mfumo wa ajira. Mapungufu ya hii serikali yetu ni budget ndogo, 10%. Watendaji au Wafanyakazi wapo vizuri sana tena sana kuliko nyie wapiga zumari wa mitandaoni.Hawa watu bado sana, halafu inaonekana huyu yeye hata hajui hio mifumo imetengenezwa vipi
Ni kweli wanasource ujingaujinga kwa vile ipo mtandaoni wanadhani basi inawezekana
Ndio maana Microsoft au Google wanashindwa kufungua ofisi hapa, sababu wakiambiwa gharama za AWS au Azure, watajifanya kuwa wao wataleta mfumo rahisi ndio wanaenda kuokoteza mitandaoni kama project ya chuo
Hapa umeeleweka mkuu. Basi,wanaojua kuchakachua wamefanya yao.Hii ni single source tender, ili bidi iwe international competitive tender na iwe hadi 5 stage tender. Hapo wana deal na taarifa nyeti.
Ingekuwa international competitive tender NMB asingeweza kushinda hata hivyo NMB ana deal na pesa sasa kama anadeal pia na technology basi watuwekee hadharani business license tuione pia [emoji16]. Maana all current registered business tunazijua, kuna mafile na mafile yapo stored somewhere huko.
Waache wataalam wadadavueHapa umeeleweka mkuu. Basi,wanaojua kuchakachua wamefanya yao.
Una uhakika?Inasikitisha sana, hapo utakuta rais mwenye keshapewa 10% yake wala hana habari!
NB: Unashangaa hilo? Kuna kipindi TANESCO walinunua mfumo india kwa mabilioni wakati eGA wangeweza fanya hiyo kazi.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Si ndo hii hii wahuni wanatumia kutupiga hadi mapato ya serikali hayaeleweki.inawezekana wewe unachuki binafsi na serikali lakini sio kutweza namna hio kazi kubwa namna hio
Serikali na Bank nani anafanya vetting ya kutisha?Hujui unachokiongea?
yaani kisa ni NMB msign kuipa billions of money kutengeneza mifumo ambayo tayari ipo serikalini?
ESB ipo up and running pale e-GA ,unataka kutengeneza nyingine ili ugundue nini?
watu wanapiga hela mnaendekeza unazi
Tatizo NMB si taasisi ya teknolojia iliyo rasmi kwa mkataba waliosaini. Leseni yao ni kuuza fedha.Kwani,kama ni open tender, na NMB ina watu wanaoweza kufanya hiyo kazi, tatizo lipo wapi?
Kama unadai issue ya taarifa nyeti, nani hawezi kuzifikia kama ni successful bidder(aliyeshinda tender)! Au unadhani kila developper anaweza kufanya hiyo kazi?
Aiseee, ndo zinachepushwaje hizo hela za manunuzi ya umeme?Wewe kichwa maji sana 40% ndio inakufanya uamini NMB apewe hiyo kazi?
-Wafanyakazi wa NMB wanalipwa na kuajiriwa na nani? What's the vetting process?
-sera ya usiri katika kazi NMB ipoje
-NMB ni taasisi ya kifedha, inawezekana vipi wapewe kazi ya mifumo ya kielectronic wakati business line yao ni kudeal na fedha na sio technology.
-Kumbuka mwenye hisa kubwa ndiye muamuzi mkuu, sasa serikali itaweza kusema nini kuhusu mambo yakienda tofauti?
Moja, tunaitaka NMB na SERIKALI watuwekee business license kwamba NMB pia wana deal na kuendesha biashara au huduma za kiteknilojia
Pili, mfumo wa ega unahusisha malipo na huduma mbalimbali kwa serikali, hivyo serikali ituhakikishie kuwa hakuna taarifa au malipo yatakayochepushwa kwenda NMB.
Tatu, sasa ni wakati wa ofisi ya CAG watumishi wake wachaguliwe hasa Chief officer asiteuliwe na rais ili awe huru kupitia na kukagua taasisi mbalimbali.
NB. Kuna mfumo wa malipo serikalini GePG hasa upande wa manunuzi ya umeme kuna wizi wa uchepushaji fedha za manunuzi ya umeme unafanyika huko, yaan ni kufuru huko hatari.
NMB ni taasisi binafsi je usalama wa serkali mtandao unalindwa kwa namna gani? Issue si ujuzi kama hakuna wataalam serkali si ikasomeshe watu wa ndani?. NMB anapokuja unadhani wataalam ni hawa akina Mwaipopo? Ni watu wa nje ambao ndio watatengeneza hiyo mifumo kupitia tenda ya serkali na taasisi hiyo. Ovyo kabisaSasa mnataka mtengeneze mifumo ya fedha kwa kutumia open source application ambazo usalama wake ni tia maji,
Mnadhani kwa vile unajua kutengeneza basi, kila kitu kinawezekana kama vile ulivyofanya project yako ya chuo
Wanahisa wengine wakiwemo watu binafsi na makampuni/mashirik yao.... 🤔Hiyo 60% ni ya nani?
Sioni shidaWanahisa wengine wakiwemo watu binafsi na makampuni/mashirik yao.... 🤔
Nilikuwa namtaarifu Ivan Stepanov #11 aliyehoji 60% inamilikiwa na nani kama Serikali ina 40%.Sioni shida
Core business ya eGA siyo development ya mifumo
Yeye ni regulator
What we need ni strong regulation and protection ha mifumo inayotengenezwa
Unajua unacho kiongea Bro? Sometimes bora kukaa,kimya mfumo unaopitisha matilion ya shillingi ufananishe na mfumo wa final Yr project ya mwanafunzi wa chuo......?Sasa huyo GEPS unauona ni mfumo wa maana sana? Unahitaji exposure sana.
Mfumo kama 3 year project ya watoto wa chuo
Share holders wa NMB ni nani? Je Serikali haipo? na kama ipo huu uzi ni void!! Futa fasta kulinda heshima yako.Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Bora utengeneze mifumo ya kuunga unga kupitia watu wako ambao watakua kidogo kidogo,kuliko kutumia mifumo ya nje, kwani hujui usalama wa data zako.Makampuni mengi makubwa serikali zao zina backdoor kwenye hizo taasisi,so wakitaka kutindua wana tindua. Dunia hii ya sada information/data ni power,so huwezi kumpa mtu data zako akuhifazie ambaye,humjui,haujamfanyia vetting, wala ambaye hajala kiapo.Hawa watu bado sana, halafu inaonekana huyu yeye hata hajui hio mifumo imetengenezwa vipi
Ni kweli wanasource ujingaujinga kwa vile ipo mtandaoni wanadhani basi inawezekana
Ndio maana Microsoft au Google wanashindwa kufungua ofisi hapa, sababu wakiambiwa gharama za AWS au Azure, watajifanya kuwa wao wataleta mfumo rahisi ndio wanaenda kuokoteza mitandaoni kama project ya chuo