Mkuu umewasahau wale jamaa wanaotangaza Raggae wale , wanagonga kijamaika hatari nawapenda sana wale jamaa sijui ndoo hawa walikuwa times fm mwanzo?Ratiba ya monday to friday hii
Joto la asubuhi saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi ( gerad hando, p.j na adeliya)
Sports headquaters saa 3 asubuhi hadi 6 mchana(kitenge, oscar, sudy, maestro, musa, omary, tunu)
Uhondo saa 6 mchana hadi saa tisa mchana( dina, swebe, bi hindu)
Ladha 3600 saa tisa hadi saa 10 jioni (jabir saleh)
Ubaoni saa 10 jioni hadi saa moja ucku (emma, mpoki, bikra wa kisukuma)
E Sports saa moja ucku hadi saa mbili ucku (omary katanga, ibrahimu masoud "maestro", maulid kitenge, tunu hassan, musa n soudy)
Genge saa mbili hadi 5 (kicheko) hapa ndo zinapigwa sana visingeli
Weekend uwa sikilizagi sana radio ila kuna vipindi km old skullz jam, muda wetu, afro bet
E.Sports saa moja ucku hadi saa mbili jumamoc n jumapili ipo pia
Hunipendi tu tatizoUna akili ila makundi yanakuharibu
Kama una dish la Azamu jamaa wa E fm wanapatikana vizuri kabisa!!!Mkuu kidogo wewe umechangia bila kuonyesha mihemko yako binafsi...napenda sana jinsi ulivyochambua hivyo vipindi pamoja na wahusika wake,niko mkoani sijawahi kuisikiliza hii radio E-FM ila majina ya vipindi tu jinsi yalivyo umenishawishi namimi niwasikilize nione kama yaliyomo yamo kweli au laah....ebu tusaidie na mida ya vipindi vyao bhasi ili niwasikilize kwenye tunein app
Mkuu kula like zangu nyingi.Nakubaliana na hoja me n msikilizaji wa radio zote e.fm wanafanya vizuri hata ukilinganisha vipindi clouds washapigwa gap
Power breafast vs Joto la asubuhi > p.b cku izi ina imeopooza ngoja j'3 tutaona joto la asubuhi itakuaje
Leo tena vs Uhondo > leo tena ya sasa sio km ya zaman yule da huu, mus na jose mara hamna wanchofanya zaidi ya kuongea umbeya, n uteam uhondo hata mpangilio vitu unavyosiki vimepangiga dina n swebe wanafanya vizuri
Jahazi vs Ubaoni > jahazi kimebaki kipindi cha matangazo na kupeana salama mda mrefu n bora hata usikilize ubaoni utojuta n utafurahi
Sports xtra/roundup vs Sports headquaters hapa clouds ndo wameachwa mbali wakina shafii wamebaki kutoa habari za goal.com kwny uchambuzi yule alex na wakina issa maeda hamna kitu, mbwiga anapiga kelele tu na ukija e.fm unasikiliza michezo n uchambuzi hadi unafurahi uku oscar ocar, ibrahim masoud "maestro", tunu hassan, kitenge maulid, suddy mkumbo, musa mwakisu. Yusuphmkule uwezi kuona gap hata mmoja asipokuwepo
Clouds wamebakiwa n xxl na amplifier tu ndo vipindi wanaweza kujivuniA
Ya hovyo sana, ilikuwa my favourite!choice fm ilikua ya kinyamwezi sana, ila sasa hovyo hovyo..
Mkuu unasikilizaga xxl????xxl yenyewe mbovu siku hizi, utakuta wana interview msanii huku wanajadili vitu vya kijinga wakati huo mda unaenda. Mda umeisha hawajamuoji kitu cha maana, achilia mbali hayo matangazo sasa.
marekebisho, efm inasikika duniani pote, kupitia on line, unaweza ku download apply ya radio kwenye pray store utaipata, m nko huku mbali naiskia,Katika hali ya kustaajabisha ni kwamba redio mpya tena ina miaka miwili tu tangu ianzishwe na inakamata mkoa mmoja tu(DSM),inazidi kubamba na kupaa kila kukicha kiasi kwamba imezifunika redio kongwe zote,hadi Clouds fm ambayo ndio redio inayosumbua kwa hapa Tz inafunikwa na redio ndogo tu (E fm),kama unabisha basi wewe una lako ila kwa hapa DSM habari niE fm tu kila kona.na ndio maana clouds wameamua kuibadilisha ile redio yao ya Choice fm(102.5).wameamua kuiharibu hiyo redio na kuifanya iwe kama E fm ila haiwezekani,kwa wanaoijua choice fm ilivokuwa mwanzo na sasa watanielewa ninachomaanisha.soon tutaisikia clouds nao wanaanzisha vipindi vya miziki ya minanda na miduara,tusubiri kuona clouds ikiendelea kuongeza watangazaji kila siku
sawa boss sumbai.Mkuu unasikilizaga xxl????
Twende E fm
Mkuu unajua maana ya neno alilotumia? umekurupuka (amesema hyo radio ilikuwa ya kinyamwezi sana) kwa maana nyingine ya kimjini mjini alimaanisha (hiyo choice fm radio ilikuwa ya waskilizaji wa kishua)Shika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
Afadhali umegundua mapemaHunipendi tu tatizo
Nimegundua cku nying sanaAfadhali umegundua mapema
Una akili weweNimegundua cku nying sana
Ya kinyamwezi amemaanisha ya KIMAGHARIBI,YA KIZUNGUShika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
Kwenye ubunifu hawa jamaa ni hatari wanakufanya usiache kusikiliza radio yao..yani kama kucheka ndio usiseme...Naisubiri Joto la Asubuhi kuanzia kesho!ubunifu wa efm ni wa hali ya juu!kuanzia mkude samba,michezo nk.THANKS EFM anyway,because I loath clouds!
Kama una king'amuzi cha Azam unaweza kusikiliza fresh sana....Mkuu kidogo wewe umechangia bila kuonyesha mihemko yako binafsi...napenda sana jinsi ulivyochambua hivyo vipindi pamoja na wahusika wake,niko mkoani sijawahi kuisikiliza hii radio E-FM ila majina ya vipindi tu jinsi yalivyo umenishawishi namimi niwasikilize nione kama yaliyomo yamo kweli au laah....ebu tusaidie na mida ya vipindi vyao bhasi ili niwasikilize kwenye tunein app
Hahaha hawa jamaa wana swaga hatari nilisikiliza siku moja nilicheka sana wanavutia kuendelea kusikiliza kipindi.Mkuu umewasahau wale jamaa wanaotangaza Raggae wale , wanagonga kijamaika hatari nawapenda sana wale jamaa sijui ndoo hawa walikuwa times fm mwanzo?