GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,423
- 120,760
Huku Akikaribishwa Kuzungumza Katika Kipindi Cha Sports Headquarters Cha E FM Katika SHAMRASHAMRA Za Kilele Cha Birthday Ya Hicho Kituo Msemaji Wa Klabu Ya Yanga JERRY MURO Ametoa Kashfa Zifuatazo Kwa Clouds FM Hasa KIPINDI CHA MICHEZO Hasa Akionekana Kuwalenga Shafii Dauda, Alex Luambano Na Fatuma Likwata Na Ambapo Alisema Kuwa Alishawahi Hata Mara Kadhaa KUWAVAMIA HAO WATANGAZAJI Hapo Ofisini Kwao Na KUWAKUNJA Na Kuwapa MAKAVU. Kashfa au Maneno Ya Shombo Aliyoyasema Jerry Muro Ni Haya Yafuatayo:
Clouds Media Group Na Nyie TUNASUBIRI SASA TAMKO LENU Juu Ya HIZI KASHAFA NZITO ZA KIUELEDI AMBAZO Msemaji Wa Yanga Jerry Muro AMEWATOLEENI Kwani Kiukweli HAZIVUMILIKI Na Zinawachafueni Kwa Kiasi Kikubwa. Na Ili Kulidhihirisha Hilo Kuwa E FM Ipo Nyuma Ya Yanga Airtime Ambayo Amepewa Msemaji Wa Yanga Hapo Studioni Ni Kubwa Ambapo Mpaka Sasa Anaendelea Kuzungumza Na Zimefika Dakika 25 Wakati Airtime Aliyopewaa Msemaji Wa Simba Haji Manara Zilikuwa Ni Dakika 5 Tu.
UONGOZI MZIMA WA Clouds Media Group Na Hasa WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA MICHEZO CHA SPORTS EXTRA Tafadhalini AMKENI Kwani MMEKASHIFIWA KWA KIASI KISICHOWEZA KUVUMILIKA.
- Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) Ni WASHAMBA.
- Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) HAWANA UELEDI Katika UTANGAZAJI.
- Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) WANAKURUPUKA.
- Clouds FM ( Kipindi Cha Michezo ) SIYO BORA Na WANABABAISHA Tu.