Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea vitu ndani ya Simba vinavyoendelea.
Viongozi wa zamani wa Simba wanamtumia yeye kutumia redio kumkandia Mo Dewji kwa maslahi yake binafsi.
Hata hili suala la kuwa Simba hadi leo hakuna hata mchezaji mmoja aliesajiliwa sio la uongo, ameambiwa na watu wa ndani kabisa.
Sasa kimaadili Maestro kutumia media anayofanyia kazi kuchokonoa na kuzusha mtafaruku ndani ya Simba sio sawa hata kidogo.
Kila kinachoendelea ndani ya Simba yeye anakipinga tu.
Halafu mfatilie haisemi bodi ya wakurugenzi ila yeye anam attack Mo Dewji.
It is a general rule kama uliwahi kuongoza Simba halafu unatumia media kukosoa mambo yanayoendelea ndani ya uongozi unapaswa kukaa pembeni, usitumie media kuharibu brand ya Simba.
Inaonekana mpango uliopo ss ni kumvuruga Mo aachie timu ili wajanja wanaondaliwa waichukue, Mo kashaweka Bilion 87 had ss, unawezaje kumuondoa kizembe zembe namna hii, hawezi kuachia timu ss hv hata iweje, hata mkimpigisha shoti yeye anakwenda nayo had ajue mwisho wake.
Angalieni watani zetu GSM ndio wanaongoza Yanga, wanasajili wao na leo tumeona Balla Conte akistorika kwa kucheza chess na Injinia Hersi, kazi ipo msimu ujao kama hatukula mkono au 10 sijui