Kweli, Acha Tu Tuone 😁Ameshinda vikwazo sasa njia nyeupe
Anaonakena ni hatari sana kwa watawala wababaishajiKuna kawimbo kanaimbwa hivi 'october yeyeyeee utawezana yeyeyeee' huyo mnyama anaonekana hatari asiye mwema wala kufaa popote, kwa mikucha hiyo ataishia kukatwa mkia na wananchi wanaorusha hayo mashoka,mikuki,mapanga,mawe na makombora.
Kucheka ni haki yakoila hii picha inachekesha wakuu Au Mnasemaje ?[emoji23][emoji23]View attachment 1593114
Haya kenua unenepeila hii picha inachekesha wakuu Au Mnasemaje ?[emoji23][emoji23]View attachment 1593114