Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Wabunge watatu wa Tanzania, Zitto Kabwe wa Kigoma mjini Godbless Lema wa Arusha Mjini na Mchungaji Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini wanadai kwamba Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai anaendeshwa na Serikali ya Rais John Magufuli, madai hayo yameibua cheche mitandaoni. Mchora Katuni Said Michael, kaitoa taswira hiyo, wewe waonaje?