Adolph
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 895
- 346
Salaam wakuu..tukiwa tumehama kutoka analogia kwenda kwenye digital kumekua na uwepo wa vingamuzi aina mbali mbali..nimeona habari kwamba uganda wamepiga marufuku uuzwaji wa vingamuzi ya startimes vyenye technologia ya DVB-T1..ningependa kujua nini tofauti kati ya DVB-T1 na DVB-T2 na je hapa tanzania hivi ving'amuzi vya starimes ni aina gani?