Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,172
- 26,907
Wakuu salamu,
Nimeona tangazo mahali kwamba application zinafunguliwa October 3 kwa wanaotaka kupata green card .
Sasa nahitaji msaada ni wapi hapo bongo I mean dar naweza kupiga picha mahususi kabisa ya kuombea hiyo card.
Natanguliza shukrani zangu wanabodi.