Jishughulishe na Kilimo bado kijana wewe! Naona mambo ya Elimu achana nayo hiyo div 4 ni kielelezo tosha. Ushauri tu!
Jishughulishe na Kilimo bado kijana wewe! Naona mambo ya Elimu achana nayo hiyo div 4 ni kielelezo tosha. Ushauri tu![/QUOTE
Ushauri mmbaya, inaonekana hupendi maendeleo yake kielimu.
Hapana mkuu mi masomo nayapenda na naamini nitasonga tu.
Resit mitihani basi upate principal pass za kuanzia! Then unaweza panda na diploma na kuendelea....Kila la heri
Hizi nilizo nazo zinaniruhusu kusoma diploma kwanini nirudie hio ndo time wastage
Tafuta basi kozi unayoipenda ufanye hiyo diploma! Ila kwa point 19 ninaona utapata vizingiti vingi
Kaka huna nia nzuri na mimi. Kwa nini unatabiri kushindwa kila mara.
Hapana ndugu! Nakupa changamoto Ngumu ili ufikirie zaidi....na uwaze kushindwa kupo
Hivi kwa hizi kozi za biashara ni ipi unaweza kupata kazi kirahisi?
Hivi kwa hizi kozi za biashara ni ipi unaweza kupata kazi kirahisi?
Diploma ya ualimu unaweza pigika maana shule za kata waalimu hawalipwi, kuna jamaa yangu ili humus zaidi ya mwaka kupata mshahara. Sikushauri huko
Mhhh kwa matokeo hayo ushaanza kufikria na kazi ya kuajiriwa.
Tuliza akili yako. matokeo uliyopata hayakuweki kwenye postion ya kuwa competent. kwenye job market .lakini usikate tamaa
Hata Rev Masanilo anakupa ushauri mzuri usidhani anakunyanyapaaa
Pole sana