duwa zenu watu hawanipendi jf

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
ma friends watu wengi hawanipendi kwa ukweli wangu wanataka nitume uwango ambao hauna faida na mimi
 
Hawakupendi kivipi?hebu fafanua zaidi Jane
 
Kawaida tu ..
ukipendwa na kila mtu ujue wengine ni wanafki bora kuna ambao hawakupendi live...
maisha tu hayo usipoteze muda wako mwingi kuwaonyesha wanakuuthi
Yeaah kuwa ile altitude "I don't give a **** "
Concentrate on you & your life .. siku njema
 
Sasa kwa style hii ndo tutaku-diss ooh we endelea
 
Sa upendwe ili iweje na ilhali unajilipua tu humu
 
Hivi hizi duwa hizi.....tunazichezea namna hii? au sijaelewa

wareva
 
jf siku izi hata siielewi

Uielewi Kivipi? wakati dada amekuja kichwa kichwa kuvamia majukwaa! jana kavamia jukwaa la hoja mchanganyiko kakutana na watu wasiomjua kabisa bora huku MMU na Chitchat akina nitonye washamzoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…