mudrah JF-Expert Member Nov 17, 2017 981 1,974 Apr 17, 2018 #3 ooops m sna hyo hela ngoja niwaite wateja waje nyieeeee mukuje huku
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Apr 17, 2018 #4 Kwa Bongo baridi ikizidi blanket linanitosha. Ukileta bed spreads/bed covers nishtue
Southern Highland JF-Expert Member Mar 22, 2017 13,200 21,536 Apr 17, 2018 #5 Daah hizi nina shida nazo kweli na huku Mbeya ndio tunaingia kipindi cha baridi. Ila kwa hiyo bei nathibutu kusema nimeshindwa mimi
Daah hizi nina shida nazo kweli na huku Mbeya ndio tunaingia kipindi cha baridi. Ila kwa hiyo bei nathibutu kusema nimeshindwa mimi