duuuuuu utata....

duuuuuu utata....

Rog3rz

Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
44
Reaction score
26
mama alitoka job, kuingia tu ndan
mwanae mdogo kampokea na
kumwambia mamy subr
nikuammbie kitu, mama
akamkatisha, akamwambia
utaniambia baadae coz saa hz naenda kupika,
akiwa anapika
mtoto kaanza "mama leo...." mama
akamkatisha tena, bas baadae
wakiwa wamekaa wote dining
wanakula yaan familia nzima mtoto akanzisha tena, "mama bas leo alikuja
auntie
Rose akamkuta
dady...., mama akaitikia ahaaaaa,
mtoto akaendelea baba akambeba
akamkalisha pale akionesha mezani, mama enhe, (hapo baba chakula
kishakuwa kichungu), mtoto
akaendelea
halafu akambeba tena
akampeleka chumbani kwetu(mtoto
alikuwa bado analala na wazaz), kisha akamvua nguo, ( hapo baba
jasho linamtoka mwili mzima akijua
kaumbuka)mama kwa hasira enhe
ikawaje,
mtoto akasema akamlaza
kitandani, na yy akavua nguo halaf akamlalia wakaanza kucheza kama
we unavyochezaga na uncle
John......................haha haaa, unahc
nini kilifuatia hapo
 
baba kwa sauti ya upole na kujiamini 'huyu mtoto ana vi2ko kweli akishashiba'
 
Mwanzo kwa mama ulikuwa mzuri,kwa baba balaa,ila mwishoni duuuuuuuuuuu wote hoi
 
mambo ya kwenye ndoa hayo wakisha chokani,,,,hapo lazima pachimbike
 
mambo ya kupanga chumba na sebule ayo uku una watoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom