Duuuuuh!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(Mtoto);Mama hivi kwanini huyu jirani yetu anatupatia misaada mingi sana? (Mama);Kama kila kitu ningemtegemea baba yako hata wewe usingezaliwa!
 
kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo?
 
huh..................akija huyo baba wa kambo amabae ndo namtambua nampa ukweli
 
kuna baadhi ya vitu ukiambiwa unaweza kuzimia hasa zaidi kama we ndio mwenye mali...
 
Mama kazidi kwa utegemezi kuliko hata serikali ya jk
 
finally nimenyoosha mbavu zangu...thanks jaguar...
 
Duuh naenda kusema kwa dingi, tena namfata hukohuko kazini.
 
na hiyo misaada jamaa anatoa ni kwamba analea mwanae kwa style ya ku-out source.inakubalika hiyo!
kudaadeki, kwa maana hata dogo ni sehemu ya misaada aliyotoa jirani siyo?
<br />
<br />
 
Duh! huyu baba wa kambo kashndwa kutoa huduma zote kipesa hadi mambo yetu yaleeee. . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…