Mmmhh! Sio kama hivyo mkuuhapo anapunguzwa uoga.
Hatari sana hii Clueless14:Aki nitakumeza mzima nikiona unamfanyia mwanangu hivi. Ukikosea kumdaka utaniambia nini hivi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]unashtuka nini wakati mtoto anapaa kama boeing mpya 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo mtoto atadakwa na Mavi. Atakunya.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anamfundisha ukomandoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwa haraka haraka huyo ni baba wa kambo