Duuh!

Duuh!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,370
Reaction score
2,715
Ndio wakati mwingine watoto huwa wanawalilia

Mama zao hata akienda toilet!
IMG-20180815-WA0003.jpg
 
Nikigundua mtoto kama ni muoga wa kitu fulani huwa nafanya kile anachoogopa ili awe mkakamavu ukubwani.
 
Michezo mingine inaweza kupelea talaka. Mtoto anaweza kukunja mikono huko juu utamdakaje?

Ndio maana watu wengine wanatabia za ajabu ajabu kumbe walipitia haya mafunzo yasiyo rasmi, wengine wanatamani kua viranja wa malaika.
 
Back
Top Bottom