Duuh! Semeni wenyewe II

nimependa hii
1) ni organic
2) green,
3) economic( unavuta mara moja tu kwa siku sio kama sigara kila wakati uvute)
4) no chemicals added,
5) mti wake hauitaji mbolea wala uangalizi sio rahisi kushambuliwa na wadudu,
Mengine mtamaliza
 
macho yanaogopesha
avatar85282_1.gif

yako umeyaona?
 
Boyz tuwe makn,kama hvi unakutana nae,Oh mara nakuweka ndani!Wewewee,unajuta kuzaliwa.Hla anaonekana Beautful...?
 
Back
Top Bottom