Duuh! Semeni wenyewe II

Duuh! Semeni wenyewe II

nono ya ukweli...alafu hapo inawezakuwa warmup kabla hawajaanza kugegedana
 
Nasikia siku hiz vijana hawana waswas kwa kuwa mzee anatoa matibabu bure, kaz ipo kwel, hatizami vijana walipojikwaa, bali anatizama wanapodondokea.

Mkuu chibi ukitaka cheep popularity lazima ufanye hivyo, Wakiwa wengi ataanzisha sober house magogoni
 
Kitu cha mlima meru hicho! Cha baridiiii!!! Wataalamu wanasema ukitaka stimu yake ukivute ukiwa umeshiba.

Ama kweli wanawake wamedhamiria kuufikia usawa na wanaume naona sasa hivi tupo nao bega kwa bega kwenye kila kitu!
 
Usijaribu kabia kukipiga hicho kwenye Jua la Dar....Lazima udate mkuu!:majani7:
 
huyu atakua muuza k tu anaondoa aibu kabla hajenda kuwajibika/
 
Back
Top Bottom