Duuh Kutongoza kweli ni Mchakato

unatakiwa ukae siku 21 baada kuachana ma mwenza wa kwanza kabla hujatafuta mwingine ili kuondoa mabaki ya X wako, huyo mwanamke kwan hajui kama ulikuwa kweny penz lingine, Uko penning ivyoo
 
Hizi sio nyakati za kulazimishana aloo, ukilazimisha umejimaliza mwenyewe.
 
We Anthropologist ushapata kaz?
 
Unakwama wapi wanawake wa siku hizi mbona hawana miyeyusho , labda ww ni domo zege
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…