Duuh Kutongoza kweli ni Mchakato

Ukweli mchungu ni kwamba TAFUTA HELA MKUU
 
"Nini nitamuoffer kwenye new relationship."

Kijana mpunga hauna, ukiwa na hela hutumii nguvu kwenye kutongoza.
 
Michache hiyo hujapona vizuri fanya nusu mwaka or a year kabisa ndiyo recommended, au mwenzetu una moyo wa chuma?😀
Huyu hatafuti mpenzi bali anatafuta mtu wa kumsaidia kupambana na upweke......akipona upweke ndio anatafuta mpenzi........ni tukio baya sana kumfanyia kwa kuwa unatumia hisia zake kuzima maumivu yake......

Alafu za watu wa hivi ni kuwa unakuta ndani ya muda mfupi penzi linapamba moto mpaka unashangaa yaani hataki kukukosa kila muda anataka muwe pamoja au muwasiliane.......hizo ni alama za hatari.....kama akili zako ni ndogo utaona unapendwa na utamkabidhi moyo moja kwa moja baadae kinafuata kilio kikuu kama mtu anayekamuliwa jipu......
 
[emoji1787][emoji1787] mkuu huo mpunga ni kiasi gani?Kwa hiyo tusio na pesa hatustahili kupendwa?
Inategemea demu atakwambia nini au atabehave vip wakati unamtongoza ila kwa huo mstari nilio uquote, demu kuzunguka ila alicho maanisha atafute hela.
 
Kwa kweli ni shida! Na wanajua kuringa hawa wadada, akiwa mzuri wa sura na shape ndo taabu kabisaaaa...
 
Kwa kweli ni shida! Na wanajua kuringa hawa wadada, akiwa mzuri wa sura na shape ndo taabu kabisaaaa...

Sema wakishajaa kwenye 18 hawanaga ujanja. Hua ni mwanzo tu waonekane sio cheap.
 
Analinganisha, futa mawasiliano naye, ingawa najua namba unayo kichwani! Akipiga, pokea kama simu ngeni! usihangaike kumfunua ndio umuache, hana thamani hiyo!

Ni maoni tu
NAKAZIA HAPA

Usimpe attention.
 
Kama upo dar nitajie ulipo nikuelekeze chimbo lililo jirani na wew....ili uepukane na izo mambo

Hapana mkuu. Chimbo sihitaji nahitaji Mtu wa kutulia nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…