Duuh Kutongoza kweli ni Mchakato

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Nimetoka kuachana na mpenzi wangu niliempenda kama Miezi minne iliyopita. Basi baada ya Mda huo nikaweza kupatana na Mdada mwingine mzuri sana, nikarusha swaga zangu za hapa na pale.

Asee kweli kutongoza ni mchakato na inaboa kwa kiasi fulani Kwani sasa hivi mimi ndio wa kumtafuta yeye na kumshawishi Nini nitamuoffer kwenye new relationship.

Kutongoza kunachosha, napenda kutulia na mtu mmoja tu kuepusha hizi rabsha.
 
Tatizo ni nguvu hiyo unayotumia, halafu kuna wahuni wanakamata huyo huyo kama toroli, wanalivuta muda wowote, popote!

-ke sio waungwana sana! Fanya unachoweza kwa ujasiri uliojaliwa!

Sure mkuu. Hapa kuna Mda nilimpigia Simu haikupokelewa, na badae nikapata txt nitatafutwa lakini hadi sasa ni holaaa. [emoji1787][emoji1787] na ilihali mtoko wetu wa kwanza alinambia amenielewa agenda yangu. Sasa nampatia Mda na mimi akiendelea hivi nampotezea
 
Madem wasiotaka pesa ni wale wenye pesa.
Kama unatafta mke, pesa sio ishu lakini kama unatafta 'girlfriend' wa kusuuza rungu, pesa itakusaidia sana ..

Kweli kabisa. Mimi napenda Mtu wa kutulia nae na sipendi short term relationship
 
Analinganisha, futa mawasiliano naye, ingawa najua namba unayo kichwani! Akipiga, pokea kama simu ngeni! usihangaike kumfunua ndio umuache, hana thamani hiyo!

Ni maoni tu
 
Tatizo ni nguvu hiyo unayotumia, halafu kuna wahuni wanakamata huyo huyo kama toroli, wanalivuta muda wowote, popote!

-ke sio waungwana sana! Fanya unachoweza kwa ujasiri uliojaliwa!
Ata hao walianza na mchakato huo huo mbeleni unavuta . mkono tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…